Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Ile shule nzuri sana....sista angu kasoma hapo!

Unajua hiyo shule ni ya yule mzee Saul mwenye s.h amon na landmark hotel

Sent using Jamii Forums mobile app
nikisikiaga kasoma ACADEMIC INTERNATIONAL huwa nafikiri ni ile ya mikocheni B CocaCola road kule ile wanayotumia cambridge sylabus (IGCSE)

kumbe kasoma ya hapo Sinza... alafu nilikuwaga sijui kama kuna academic nyingine zaidi ya ile ya mikochen leo ndio nimejua yan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nikisikiaga kasoma ACADEMIC INTERNATIONAL huwa nafikiri ni ile ya mikocheni B CocaCola road kule ile wanayotumia cambridge sylabus (IGCSE)

kumbe kasoma ya hapo Sinza

Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaaa hata mimi nilidhani hivoo na nadhani Ray kazichanganya hizi shule...Wema kasoma Academic international ya mikocheni B

Ile ya sinza inaitwa hivo hivo Sinza international

kumbe nipo sahihi maana nakumbuka hadi anashiriki umiss alikuwa anadate na mchizi wangu wa kipindi hicho yule mo racca na walikuwa wanasoma wote kule mikocheni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!ila nafkr hyo ni mbaya sanaa!kuchange blood!! Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaya wakati ndo unadumu[emoji849][emoji848]...watu especially matajiri hawataki madonge yale, full kukuharibu body system tu!

Yaaan kidney failure na ARV ni kama chupi na takroo!

We ukisikiliza chai za humu ooh sijui vile vidonge na figo havihusiani utapotea, ... wakati hapa watu tuna wagonjwa tunauguza unashuhudia kitu live

yani ishort ogopa dawa yoyote unayoinywa kila siku... kuanzia haya madawa ya presha na moyo makina captoprill..isosobide..sijui dejoxin hadi hayo ma ARV.

kidney failure nje nje

Kabisa mkuu ....ukishakuwa drugs dependent, yaan ujue anayeumia ni figo, ni no choice

Hapa tuna mgonjwa anapiga hayo madonge kibaya zaidi hanywagi maji, yy soda na juice baasi....usipime

Hiyo Figo tayari kimeshanuka kitamboo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] at least umesema kitu maana wote ninaowauliza huwa wanaishia kumung'unya maneno

Wikipedia extract:

Origin

Sports Illustrated (SI) attributes the origin of the term to a sneaker-specific blog named Nice Kicks. According to SI, this blog began a practice of regular postings (on Thursdays) of photos of old basketball footwear in 2006, titling the series "Throwback Thursday".

One other source agrees, giving more insight into the origins of the term and how its usage spread. Since then, the slogan has blown up to the point where #TBT has been used on Instagram over 200 million times. While the trend has origins outside of social media, it only gained popularity once major apps such as Instagram began to rise in popularity as well.

Khantwe, was that helpful?
 
Back
Top Bottom