Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Kaka angu ni hyo hyo si unajua ngeli ni tatizo hasa vifupisho
hahah. kweli dada angu hizi internet slang huwa ukikutana nayo mara ya kwanza lazma isumbue

nakumbuka kipindi cha "tbt" ndiyo imeingia mimi nilifikiri inamaanisha tabata sasa nikawa najiuliza tuseme tabata pamekuwa maarufu hivi hadi kila mtu anapost yupo tabata.... [emoji23][emoji23]

nilivyoona hadi watu wa mbele wanatumia ndio nikagoogle

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tabata...me nilijiongeza tu kwenye hyo tbt, siku moja kaka angu ananiuliza tbt ndo nn nilicheka sana nkasema kumbe washamba tupo wengi
 
MB Dog anaimbaimba kaswida kisha anataka watoto wazuri. Hizo Bongo fleva zenu kama huna hela utaishia kuchukua kina Mwanajuma ndala ndefu tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tabata...me nilijiongeza tu kwenye hyo tbt, siku moja kaka angu ananiuliza tbt ndo nn nilicheka sana nkasema kumbe washamba tupo wengi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani nikishangaa tabata kupata umaarufu ghafla... nilipoona chris brown naye kapost tbt nikasema alaaaaaah embu ngoja nigoogle

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sawa kabisa mkuu[emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lol. Sio lazma umkubali kila anaeku approach😜 Nancy Sumari ni mzuri sana na anajielewa.
Kwa kimo na wajihi wa Doggy Man na Urefu wa Nancy ingekuwa moja kati ya couple za kuchekesha sana.

Mwanamke mlima Bwana kichuguu hii inamaana hata Doggy asingeweza labda ya kiseminari!

Najua umenielewa!
 
Okay. Why do you hate her?

There must be something ugly that she did and it did not please you.

Or you just hate her free of charge? Lol.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…