Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Jokate wa kawaida?!!!!
Siyo mzuri!
Mnahadaika sana na mawigi na weupe wa vidonge!


Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna watu wana koment labda kutafuta kuonekana ni disminders.

Jokate first time kumwona ilikuwa 2007 mwanzoni, kuna event Mengi na Shigongo walikuwa wana motivation talks ya AISEC UDSM, na yeye ndiye alikuwa MC.

Sikuwa namfahamu, nikauliza hiyo ni nani, nikaambiwa alikuwa namba 2/3 mashindano ya Umiss. Nilishangaa kwa nini hakushinda yeye. She was naturally beautiful and real to me.

Huwa siyo mshabiki wa rangi nyeupe lakini Jokate nilim-rate high.
 
Angekua wema,kashaliwaga kaachwa
Wema nakusoma kote nje english inapanda ila kiukweli anakichwa fulani kinaitwa zero brain.
Watu hawa huwa hafikiri kabla ya kutenda wanakuwa hawajitambui wanapenda masifa.
Kha jamani wanatiaga huruma nawanapenda kampani ila asilimia kubwa marafiki zao wanatake advantage.
Wanatumiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay. We are getting close..

Hate is a strong word. There must be a strong feeling behind it.

What is it?

And why did you bring Nakaaya (her sister) in the picture?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mume aliyeko naye huyu nancy alikuwa ni mchumba wa dada yake alipokosa ramani ikabidi amseduce mchumba wadadae na ndiye aliyesababisha nakaaya kuhama nchi nakuolewa na mzungu.
Nancy has bad manner i hate her so much kama nini kwenye group lao nafuu faraja sio snitch na bitch kelyn kachukua mume wamtu mengi .
So they are worst people i hate them more than anyone else how could you betrayed your own blood?
How tell me?
How will you feel to live with your sister fianceee shame shame shame on you nancy where your shame on u.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi mwenyewe hadi leo sijawahi kujua "tbt" lina maana gani, nikikutana nalo najisemea tu kimoyomoyo mambo ya tabata hayo[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

I would advise you to love yourself at the same level of energy that you hate her.
 
Na hiyo kusemasema hivyo ndio ilikuwa sababu ya kukataliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: T11
Huwezi jua pengine wangekuwa couple mb dog angekuwa bado yuko kwenye ramani ya muziki either kwa sababu mwenza wake yuko smart au angetumia nguvu ya ziada kubaki kwenye game ili asifulie akampoteza mrembo
 

Nadhani ni kati ya wanawake maarufu walioweza kushinda maneno ya uzuri ni unene makalio makubwa, nywele za bandia na weupe.
Angewasikiliza waja angekuwa kama Wema wa sasa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Luca alikua anatoka na Nakaaya,Nancy akaja kumpindua Dada yake live kabisaa na akaolewa....!!!

Ilifka kipindi walikua hawaongei wale ndugu hata harusi ya Nancy na Luca Nakaaya alikua km mgeni mualikwa tu...
Okay. We are getting close..

Hate is a strong word. There must be a strong feeling behind it.

What is it?

And why did you bring Nakaaya (her sister) in the picture?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…