Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...

Weeee najuaga wana bifu but sikujua Ni such extent of miles!

Why ilikuwa hivo sasa??[emoji134][emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo ndo sababu na mange huyu huyu anayeitwa kichaa ndo alofanya wapatane kidogo enzi za Uturn Nancy alikua hataki hata kidogo waelewane tena halafu yaonekana familia ilikua upande wa Nancy kwa kua ndo title so Nakaaya alikua anawekwa Pembeni...

Mange aliandika waraka kumshauri Nancy amsamehe Dada yake kwa kua Yeye Nancy ndo mwenye makosa hvyo asilete kibri cha kumtenga ndugu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahah. kweli dada angu hizi internet slang huwa ukikutana nayo mara ya kwanza lazma isumbue

nakumbuka kipindi cha "tbt" ndiyo imeingia mimi nilifikiri inamaanisha tabata sasa nikawa najiuliza tuseme tabata pamekuwa maarufu hivi hadi kila mtu anapost yupo tabata.... [emoji23][emoji23]

nilivyoona hadi watu wa mbele wanatumia ndio nikagoogle

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe sio tabata[emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]Sasa si ungefafanua na sisi tujue mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile shule nzuri sana....sista angu kasoma hapo!

Unajua hiyo shule ni ya yule mzee Saul mwenye s.h amon na landmark hotel

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuwa najua. Kama ndiye mmiliki wa Landmark hotel basi jamaa ni mfanyabiashara makini sana. Niliwahi kuonyeshwa huyo Sauli mwaka juzi nikiwa maeneo ya Riverside pale. Dhaifu kinyama. Sijui alikuwa ana matatizo gani.

Niliambiwa anamiliki lodges nyingi sana hapa town na Morogoro. Hata pale Riverside upande wa pili ipo moja Ila jina nimelisahau.

Wema Sinza kumbe kitambo duh!
 
Hyo ndo sababu na mange huyu huyu anayeitwa kichaa ndo alofanya wapatane kidogo enzi za Uturn Nancy alikua hataki hata kidogo waelewane tena halafu yaonekana familia ilikua upande wa Nancy kwa kua ndo title so Nakaaya alikua anawekwa Pembeni...

Mange aliandika waraka kumshauri Nancy amsamehe Dada yake kwa kua Yeye Nancy ndo mwenye makosa hvyo asilete kibri cha kumtenga ndugu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Maskini[emoji25][emoji25]...na familia zetu hizi usipokuwa na pa kushika full kunyapaliwa!

Kumbe ndo maana namuonaga nakaaya kama hayuko sawa vile,,,!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kale kanaliwa sana kimya kimya kale kaone vile vile!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kajoketi kalikuwa na shobo sana na vijana maarufu. Nahisi bado ana hiyo tabia. Shobo.
Yaani kenyewe ni maarufu Ila kanashobokea sana mastaa. Refer John Mnyika, Platnumz, Kiba etc.

Sijui ana spotlight syndrome. Lol!
Lakini huenda ni hulka pia.
 
Back
Top Bottom