ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Asante
Mkuu inaonekana una muda mwingi unawaza na pia una msongo wa mawazo, dawa ni kufanya kazi hata bure kwenye kanisa, msikiti au charity work kwa muda wa kutosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante
AsanteMkuu inaonekana una muda mwingi unawaza na pia una msongo wa mawazo, dawa ni kufanya kazi hata bure kwenye kanisa, msikiti au charity work kwa muda wa kutosha.
duh! mkuu hichi kiswahili chako sikipendi utanisamehe bure!,hivi hauwezi kuandika maneno ya kiusahihi..?Hewa ipo ya kutosha ni pazur ninapolala hapana shda kabxa
Natumia kifup cha mcng si nieleweke hamna haja ya kuandka lisentes liref liclokuwa na maanaduh! mkuu hichi kiswahili chako sikipendi utanisamehe bure!,hivi hauwezi kuandika maneno ya kiusahihi..?
kumbuka mazoea hujenga tabia.
Natumia kifup cha mcng si nieleweke hamna haja ya kuandka lisentes liref liclokuwa na maana
Asante ntaleta mrejeshoPole jaribu kutumia njia hii itakusaidia chukua bilinganya kata vipande vidogovidogo kiasi ambacho kitakutosha kula changanya na mayai moja au mawili ya kienyeji kaanga kwa pamoja tumia ndani ya wiki moja na ni mara moja tu kwa siku hakika utapata usingizi murua kabisa na ulete mrejesho hapa
Tatizo hupati dushe![emoji30][emoji30][emoji30]Mwanamke
Wakwere wa JF![emoji115][emoji30][emoji30][emoji30]Punguza mawazo....fanya mazoezi....ila kama hali ikiendelea ni inbox nitakusaidia zaid[emoji12] [emoji12]
Dushe mbona napata vzur tu hata nikpgwa bao 5 bado silaliTatizo hupati dushe![emoji30][emoji30][emoji30]
Huwa unafika kileleni kweli?[emoji30][emoji30][emoji30]Dushe mbona napata vzur tu hata nikpgwa bao 5 bado silali
AsanteKula mbegu za maboga zitakusaidia
Ndyo tena cyo Mara mojaHuwa unafika kileleni kweli?[emoji30][emoji30][emoji30]
Pole sana mkuu! Bilashaka ni matokeo ya jambo/mambo fulani ambayo yamesumbua saikolojia yako. Yawezekana ni mahusiano, uchumi n.kHabar zenu? Naomben msaada wenu wapenz nina tatzo napata shida kupata usingzi ikitokea nikipata ni kwenye saa 7 ucku na nikianza tu kusinzia mavitu yanajirudia kichwan yote nilivyofanya mchana nakuwa kama vile naota ila cyo ndoto ni marudio ya matukio yote niliyofanya mchana kikitoka hiki kinaingia hiki mpak kunakucha hata mchana nikilala vtu vnajirudia kichwan hata ninavyoandka hapa ucku kitajirudia kichwan, naomben ushaur nifanyaje au nitumie Dawa gan hii hali initoke
Asante myPole sana mkuu! Bilashaka ni matokeo ya jambo/mambo fulani ambayo yamesumbua saikolojia yako. Yawezekana ni mahusiano, uchumi n.k
Ushauri;
1. Tumia muda mwingi kufanyakazi/shughuli yoyote ambayo unaifanya
2. Fanya sala na maombi, soma neno la Mungu
3. Fanya mazoezi ya viungo kama vile kukimbia n.k
4. Epuka hali ya kujitenga yaani kuwa peke yako kwa muda mrefu
5. KWAMWE USI JARIBU KUTUMIA VIDONGE VYA USINGIZI AU KILEVI CHOCHOTE.