Oa tafadhali, utakua unalala kama maitiNajaribu kujichunguza labda kuna jambo linanitatiza kichwani lakini sioni wala sihisi kinachonisumbua, everything is under my full control.
๐ฎ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎ๐ญ๐Acha stresses za kuwaza kugombea vyeo CCM.Utajifia bure.
Kuna sehemu utakua ulijikwaa. Hapa ulipo ndio ulipodondokea/kinachotokea sasa. Unahitaji kufanya review kwa utulivu na kuziba viraka.Wajuvi wa mambo habari zenu,
Ni wiki ya 2 sasa kausingizi kamenipotea kabsaa, yaani sipati usingizi mchana, sipati usingizi usiku. Hadi nafikiria na kushawishika kugonga tena konyagi labda kanaweza jitokeza kitu ambacho nimefanikiwa kukiacha.
Najaribu kujichunguza labda kuna jambo linanitatiza kichwani lakini sioni wala sihisi kinachonisumbua, everything is under my full control.
Sijisikii homa wala chochote mwilini.
Nini inaweza kuwa sababu ya hali hii?