Sipatii picha hio outrage ingekuwa vipi kama ndio single father angemuachia boda boda mtoto wake kupelekea maafa yake.

Sipatii picha hio outrage ingekuwa vipi kama ndio single father angemuachia boda boda mtoto wake kupelekea maafa yake.

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Nakuambia hadi vyama vyote vya wakina mama wangepiga kelele karibia mwezi mzima. Wakina jackline na tv showz na hawa wabunge wa nafasi maalum wa kike bungeni..

"Ooh hayo ndio matokeo ya kuwatesa wanawake mnakataria watoto alafu watotonashindwa kuwalea"

Lakini imewatokea kwa single mother mwenzao , wale wa "kila mwanaume ni mbwa" mara " wanaume wote ni wa baba mmoja", cha kushangaza mtoto amemuachia mwanaume huyo huyo.

Lakini outrage sio kubwa sana, analalamikiwa sana aliefanya maafa alafu tunamsahau mtu ambae umalaya wake umepelekea maafa kwa mtoto. Yes umalaya, !!
 
Back
Top Bottom