Sipendezwi na hii tabia ya wasafi, kama shabiki inaniboa sana

isho_boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
2,145
Reaction score
1,892
Mm ni mkereketwa namba moja wa wasafi yaani huniambii kitu kuhusu wcb_wasafi but kuna tabia fulani naiona ni unprofessional, hii ni tabia ambayo kwao wanaiona nzuri but kwa upande mwingne ina tengeza taswira mbaya mbele ya jamii na kwa wadau wa mziki.

Tabia hiyo siyo nyingne bali ile ya kuona kiba anataka kutoa wimbo au msanii yeyote anapotoa wimbo kesho yake na wenyewe wanaachia wimbo. Hasahasa kwa kiba anapotoa wimbo hata kama walikuwa hawana ratiba ya kutoa watatoa ngoma yoyot ile.

Kwa upande wangu naona ni uoga na kutojiamin, acheni hii tabia mnamtengenezea kiba kiki hata pasipohitajika na inaonekana mnashindana na mtu mmoja kikundi cha watu kumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo sijui nani hajiamini? Kwa hiyo wasafi wasitoe nyimbo ila wengine ruksa. Basi kama ndio hivyo kiba hajiamini na unamaanisha nyimbo yake ni mbaya kuliko za wasafi, yaani wasafi waache kuendelea na program zao kisa kiba anatoa nyimbo UPUUZI.
 
Yaa hili hata mimi nakuunga mkono inakua kama wanashinda vile na kiba.. pia wakisia kati ya kiba au ommy wana interview clouds nao siku inayofuata wanaomba wakati mwingne io siku ya interview nao wanaenda hata pasipo kufanya interview ili waharibu hari ya wenzao... mfn ommy kutoa nyimbo siku inayofuata diamond nae katoa nyimbo kila mtu atembelee ridhiki yake kwa ilo hata mimi nawatia 0
 
Dhahabu hats uiweke kwenye uchafu gani itang'aa tu. So uniona ivyo nyie team kiba pamoja na huyo king hamjiamini. Watoe wrote zishindane mkali lazima ang'ae. So ukiona ivyo ujue nyimbo anazotoa Kiba hazina uwezo ku-compete na WCB.
 
Sasa hapo sijui nani hajiamini? Kwa hiyo wasafi wasitoe nyimbo ila wengine ruksa. Basi kama ndio hivyo kiba hajiamini na unamaanisha nyimbo yake ni mbaya kuliko za wasafi, yaani wasafi waache kuendelea na program zao kisa kiba anatoa nyimbo UPUUZI.
Siku zngne hazipo mpk siku kiba anatoa wimbo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeandika kitu kizuri lakin wengi ya watakao kujibu negative au kama una majungu ni mashabiki wa Mond wenzako lakin wao wengi wao wamezaliwa miaka ya elfu mbili
 
Nyimbo au wimbo?

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Asiye jiamini ni yule aliyeshindwa kutoa wimbo hadi sasa.....
 
Hujui business strategic wewe piga kimya,na sio team WCB ni mamruki wewe.
Kwanini unaenda kwa Mangi anaeuza unga elfu 2400 na kumkimbia kpare anaeuza unga 2500??
Jijibu kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…