Mm ni mkereketwa namba moja wa wasafi yaani huniambii kitu kuhusu wcb_wasafi but kuna tabia fulani naiona ni unprofessional, hii ni tabia ambayo kwao wanaiona nzuri but kwa upande mwingne ina tengeza taswira mbaya mbele ya jamii na kwa wadau wa mziki.
Tabia hiyo siyo nyingne bali ile ya kuona kiba anataka kutoa wimbo au msanii yeyote anapotoa wimbo kesho yake na wenyewe wanaachia wimbo. Hasahasa kwa kiba anapotoa wimbo hata kama walikuwa hawana ratiba ya kutoa watatoa ngoma yoyot ile.
Kwa upande wangu naona ni uoga na kutojiamin, acheni hii tabia mnamtengenezea kiba kiki hata pasipohitajika na inaonekana mnashindana na mtu mmoja kikundi cha watu kumi
Sent using Jamii Forums mobile app