Sipendezwi na hii tabia ya wasafi, kama shabiki inaniboa sana

Sipendezwi na hii tabia ya wasafi, kama shabiki inaniboa sana

Dhahabu hats uiweke kwenye uchafu gani itang'aa tu. So uniona ivyo nyie team kiba pamoja na huyo king hamjiamini. Watoe wrote zishindane mkali lazima ang'ae. So ukiona ivyo ujue nyimbo anazotoa Kiba hazina uwezo ku-compete na WCB.
Hiv unaweza kusema hivyo mond katoa nyimbo sijui 2 au 3 kwa mpigo lakin had sasa hakuna inayovuma hata moja
 
Sasa si usikilize mziki unaoupenda.
Mm nakerwa na hii ltabia hata kama hawashindani wanapofanya ivo inaonekana wazi wanashindana na mshikaji cha kufanya wapotezeee akitoa ngoma wakae pemben wasikilizie upepo. Kufanya iv wanamtengenezea mwenzao kiki bila wao kujua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nakerwa na hii ltabia hata kama hawashindani wanapofanya ivo inaonekana wazi wanashindana na mshikaji cha kufanya wapotezeee akitoa ngoma wakae pemben wasikilizie upepo. Kufanya iv wanamtengenezea mwenzao kiki bila wao kujua.

Sent using Jamii Forums mobile app


We jamaa usiwapangie watu kazi zao
 
Mleta mada ushasema ww ni mkereketwa haswa wa WCB na tusikwambie chochote kuhusu hawa WCB.Mie binafsi napita tu!!!!
 
isho_boy,
Mi najuwa wewe sio hater ila upo huru kuelezea hisia zako! Na kwavile hili jambo linasemwa sana, naomba leo tukate mzizi wa fitina!!! Naomba unisaidie kunipa mifano halisi na bila shaka,Livejr, xav bero na Msukuma_De_Great watakusaidia kunisaidia kufahamu kile ambacho sikifahamu!!!

Nadhani unafahamu mimi ni mtu wa data... huwa siongei kutoka kichwani!!! Sasa tuanze na Kiba pale aliporudi kwenye game! Hapa nitatumia official Youtube Uploads walizofanya wenyewe!

Mwana ilikuwa uploaded December 18, 2014, -
Chekecha nayo uploaded June 29, 2015.
Alikiba & Christian Bella - Nagharamia-- Dec 19, 2015
Lupela nayo ipo uploaded February 06, 2016.
Aje
nayo ipo uploaded May 19, 2016.
Aje Remix uploaded February 16, 2017.

Kiba X Baraka: Nisamehe Sept 30, 2016
Kiba X Ommy Dimpoz
: Kajiandae Nov 05, 2016.

Turudi kwa Diamond sasa:

Nitampata Wapi--- Nov 20, 2014
Nasema Nawe---- March 27, 2015
Nana---- May 29, 2015
Utanipenda Dec 11, 2015
Diamond x AKA Make Me Sing Feb 12, 2016
Kidogo--- July 12, 2016
Salome-- Sept 18, 2016
Marry You--- Feb 02, 2017

Kabla hatujaenda kwa WCB; kwenye hizo ngoma; ni zipi ambazo Diamond alitoa mara baada ya Kiba kuwa ametoa ngoma?

Ninachoona hapo ni Lupela na Make Me Sing ndizo zilifuatana kwa gap la wiki moja!! Make Me Sing yenyewe haikuwa ya Diamond binafsi bali na AKA!! Sasa ulitarajia amwambie AKA wasi-release kwavile Kiba ame-release?!

Tena hapo hapo, wakati Diamond alitoa

Anyway, inawezekana kuna ngoma nimeziacha! Nitajieni na data zake nitatafuta!!!!

Turudi kwa WCB sasa!!!

Harmonize - Aiyola November 06, 2015
Harmonize ft Diamond; Bado---Feb 29, 2016
Harmonize- Niambie March 16, 2016
Rich Mavoko - Ibaki Story June 02, 2016
Harmonize - Matatizo --- July 04, 2016
Ravnavvy - Kwetu---- August 14, 2016
Raynavvy: Natafuta Kiki-- Aug 31, 2016
Rich Mavoko ft Diamond Kokoro--- Nov 22, 2016

Queen Darleen ft Ravnavvy: Kijuso -- Feb 17, 2017
Rich Mavoko x Harmonize Show Me April 16, 2017
Rayvanny- Zezeta--- May 12, 2017.

Hapo nimesahau ngoma ipi?! Kama hamna, ni ngoma zipi ambayo WCB walitoa baada ya Kiba na team yake kuwa wametoa?! Hivi kabisa Kijuso ya Queen Darleen inatosha kusema ilitokana na kutoajiamini kwa sababu tu Kiba alikuwa ameachia Remix ya Aje ambayo na yenyewe wala haikuwa na jipya?!
 
Hiv unaweza kusema hivyo mond katoa nyimbo sijui 2 au 3 kwa mpigo lakin had sasa hakuna inayovuma hata moja
Hahaaa.. We jamaa una masihara sana yani hakuna wimbo hata mmoja was Mondi unaovuma. Unasikilizaga redio matete au.? Au upon mabonde kwinama zinapatikana radio za Malawi tu. Tanya research Mara ya pili
 
Mm siyo wa kwanza kulalamikia hili swala but huwo ndo ukweli ambao upo mtaani. Sasa ni wakati wa WCB kuacha ili huyu anaetegemea slope ya WCB avume kivyake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaa hili hata mimi nakuunga mkono inakua kama wanashinda vile na kiba.. pia wakisia kati ya kiba au ommy wana interview clouds nao siku inayofuata wanaomba wakati mwingne io siku ya interview nao wanaenda hata pasipo kufanya interview ili waharibu hari ya wenzao... mfn ommy kutoa nyimbo siku inayofuata diamond nae katoa nyimbo kila mtu atembelee ridhiki yake kwa ilo hata mimi nawatia 0
waogaaaaa nyimbo zao nyepes then...wiki,wiki mbili mzigo umechacha ni chache sana zinaziweza kudumu at least miez 4-6

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui business strategic wewe piga kimya,na sio team WCB ni mamruki wewe.
Kwanini unaenda kwa Mangi anaeuza unga elfu 2400 na kumkimbia kpare anaeuza unga 2500??
Jijibu kimya kimya
WCB ni kama tecno vitu vyao vya bei rahis kila siku wanaweka afu KIBA kama Sony au Samsung au Nokia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa mi huwa sioni km Kiba huwa anashindana na Mond, ila WCB ndo kila siku wanahaha kuhusu Kiba. WCB watoto wa juzi wamuache Kiba mhenga ana hadhina kichwani
 
Back
Top Bottom