Sipendezwi na tabia ya Baadhi ya Wafuasi na viongozi wa CHADEMA kuita viongozi wa vyama vingine Majina ya Matusi, kejeli na dhihaka

Uzi mrefu umeandika ujinga tu.
hizo ni dalili kuwa watu wengi ni jobless

Hivi mjasiriamali au mwekezajin unupata wapi muda kuandika Uzi wa kipuuzi kama huu

Haya sasa unata maccm tu wa sugar coat ili iweje
Ccm ni majizi tu ndo jina linawafaa
 
Una kipaji bata cha kuandika Bible.

wekeza nguvu kuelemisha ndugu zako ili wajijitambue na waache kutumika na sisiemu kama condom, Acha kupoteza muda kujadili watu ambao hawakusanyi kodi ilihali ndugu zako wakifa kwa umasikini kule Ushilombo.
You are not rational, you blame the victim so far
 
Ubaya ubwela,CCM ndiyo waasisi wa siasa za majitaka
 

Attachments

  • IMG-20200403-WA0003~2.jpg
    18.8 KB · Views: 1
Uzi mrefu umeandika ujinga tu.
hizo ni dalili kuwa watu wengi ni jobless

Hivi mjasiriamali au mwekezajin unupata wapi muda kuandika Uzi wa kipuuzi kama huu

Haya sasa unata maccm tu wa sugar coat ili iweje
Ccm ni majizitu ndo jina linawafas

Wewe umepata Musa Wapi WA kusoma Uzi mrefu Kisha Kutoa haya maonî?

Hakuna anayebisha wizi WA CCM na hawajawahi kujitetea wao sio wezi.
Ila mbona upande wenu mnaotukana watu mkiambiwa ukweli mnaukataa?

Uliwahi kuona popote CCM wakijitetea?
 
Ni KWELI kabisa kwamba tabia hiyo siyo nzuri hata kidogo, Wala haipaswi kabisa ikaachwa iendelee kuwepo. Lakini kwa bahati mbaya sana nasikitika kukueleza kwamba CCM na 'Mawakala' wake ndio Waasisi wa tabia hiyo chafu na isiyofaa hapa nchini Tanzania. CCM ndio watekelezaji wakuu wa mchezo huo mchafu, Nina ushahidi mwingi Sana kwenye suala kama hili.

Je, unafahamu maana ya:-
1. Characters Assassination and Smear Campaign Propaganda??
Namna jinsi Operesheni yake inavyofanyika??
2. Black Propagandas?? Yellow Propagandas??
3. Disinformation Propagandas??
Misinformation Propagandas????

CCM na Mawakala wao ni Mabingwa na Magwiji wa kufanya michezo michafu niliyoitaja hapa juu(Na.1 hadi Na.3.)

Nafikiri wewe binafsi Robert Heriel Mtibeli hauna ufahamu wa kutosha kuhusu masuala haya, watu wengi sana tayari wameumizwa vibaya Sana kutokana na michezo michafu Kama hiyo niliyoitaja, na orodha ya wahanga bado inaendelea kuongezeka siku hadi siku. Hiyo ni michezo ya Siasa chafu za Majitaka ya mtaro ambayo CCM wamekuwa wakiicheza miaka yote.

Je, Umeshawahi kujiuliza ni kwa nini katika miji yote kabisa nchini Tanzania Kuna Vilinge vya Kahawa (aka: Vijiwe Nongwa) vingi Sana karibia kwenye mitaa, vijiji na Vitongoji vyote kabisa?? Nani hasa ni Mfadhili wa uanzishwaji wa hivyo vilinge vya kahawa???
Umeshawahi kujiuliza swali hili na kulitafutia majibu yake sahihi??
Je, umeshawahi kuwachunguza kwa undani zaidi kuhusu maisha yao binafsi hao Watu ambao huwa wanashinda kutwa kucha kwenye hivyo Vilinge vya Kahawa huku Wakipiga Soga na Porojo siku zote?????

Wachunguze kwa umakini sana hao Watu ambao huwa wanaoshinda kwenye hivyo Vilinge vya Kahawa (wenyewe wanaviita kwa Jina la "Vijiwe Nongwa") na Ufuatilie kuhusu kazi zao au shughuli zao wanazofanya Kisha urudi hapa JF kutoa ushuhuda na feedback kuhusu hii thread yako ya leo.
 
Moja ya vitu àmbavyo nilichukia NI pàmoja na hicho.

..Je, umewahi kuandika makala kulaani au kukemea matusi na ukatili wa Ccm dhidi ya vyama vya upinzani?

..Mimi nadhani ili kutenda HAKI usingeandika makala ya kujenga chama kimoja, Chadema, peke yake.

..Kama unatambua kwamba kuna lugha ya matusi na kejeli kwa VYAMA VYOTE je ni sahihi kukemea chama kimoja?

..Nakushauri utafute masada wa moderator kurekebisha hoja yako ili uweze kumtendea hoja yako haki, lakini ukiacha kama ilivyo utaonekana kama mtu mwenye NIA MBAYA.
 

Umejadili Vizuri Sana Mkûu.
Uliyoyasema kwa kiasi kikubwa sina ujuzi nayo kama ulivyokisia.

Sasa ishu yàngu NI kuwa Chama mbadala au pinzani kama CHADEMA kinapaswa kisifuate midundo mibaya ya CCM ili kuepukana kufanana nacho,

CHADEMA na vyama vingine vinaweza Kutumia njia ñyiñgine zaidi kuliko kuiga njia mbaya wanazotumia CCM ili Kulinda uadilifu wa Chama na wanachama.

Mfano, CHADEMA wanawashutumu na kûna Wakati hutoa ushahidi wa wazi kuhusu CCM kuiba Kura. Unàtaka kuniambia kûna Siku CHADEMA nao watataka kuiba Kura kisa CCM waliwaibia?
 
Wewe ni Taikuni wa Fasihi sawa..Karibu CHADEMA usiogope..Misimamo yote Ruksa Ukiwa CHADEMA..Ukipenda kukawakabili CCM kwa sitaha ni wewe tu, ila wengine hawawezi..Tulishaumizwa mno na CCM, tumezika, tuna walemavu nk.Sasa huwezi kumpenda na kumpamba yeyote aliye upande huo..:Nimefungua codes nadhani..
 

Nashukuru Kwa ukaribisho Mkûu lakini Kwa heshima yako naomba niwe MTU Huru àmbaye nitaweza kuwaweka Sawa ninyi ndugu wawili CCM na CHADEMA pasipo kumwonea au kumpendelea yeyote kwani sitakuwa na maslahi na Chama chochote
 
Wewe umepata Musa Wapi WA kusoma Uzi mrefu Kisha Kutoa haya maonî?

Hakuna anayebisha wizi WA CCM na hawajawahi kujitetea wao sio wezi.
Ila mbona upande wenu mnaotukana watu mkiambiwa ukweli mnaukataa?

Uliwahi kuona popote CCM wakijitetea?

..Ccm siku zote wanajitetea kwamba huwa wanashinda kwa haki.

..hata majuzi Katibu Mwenezi wa Ccm amejitokeza kukanusha maelezo aliyoyatoa Nape kule Bukoba.

..Pia misimamo ya Ccm huelezwa na viongozi wao, labda ungetusaidia ni kiongozi gani wa Ccm amekubali kuwa wanaona kura kwa namna ambavyo wapinzani wamekuwa wakilalamika. Na hatua gani zimechukuliwa.
 

Niliandika kipindi cha jpm mara nyingi tuu.

Niliandika na Kukosoa màtukio ya utekaji, mauaji na kupigana risasi hata tukio la Lisu niliandika Saa chache tangu alipopigwa.

Kiufupi NI kuwa Jambo lolote àmbalo ñàona haliendi Sawa Bila kujali limefanywa na CCM au CHADEMA ninaandikaga.
Japo siandiki mara Kwa mara
 
Hiki chama kinatupiwa sana mawe.
Poleni sana wafuasi na wanachama wa chadema. Yani hiki chama ni kama vile ndicho kinachokusanya kodi za nchi.
Tusio na chama tunawaonea huruma.
 
Nashukuru Kwa ukaribisho Mkûu lakini Kwa heshima yako naomba niwe MTU Huru àmbaye nitaweza kuwaweka Sawa ninyi ndugu wawili CCM na CHADEMA pasipo kumwonea au kumpendelea yeyote kwani sitakuwa na maslahi na Chama chochote
Bumunda ni mikate ya Wakinga inayotengenezwa kwa ngano ghafi na ina Lishe muhimu

Kipara ni Kichwa kisicho na Nywele

Meko ni Team Captain wa Bush Stars

Jumong/ Chumong ni Mwana wa kufikia wa Mfalme Kumwa kule Korea aliyekuja kuurithi Ufalme akiwaacha Wana wa Mfalme Yung hop na kaka yake wakiambulia patupu

Matusi na Kejeli ziko wapi hapo?😂
 
Unaowakingia kifua wanafanya zaidi ya hayo “maneno mabaya”.

Wana doła, wana majeshi yote na wanakusanya kodi… hivyo huwa wanafanya zaidi ya matusi na kejeli za CDM. Unataka CDM watumie namna gani kudeal na hawa watu? watumie lugha gani?

Kama hauna D mbili usiguse comment yangu.
 
Vyama vijikite kufundisha wafuasi au wanachama wao itikadi za chama ili waweze kujenga na kumtetea hoja bila hivyo matusi hayataisha.
Binafsi Nina watu wangu wa karibu tunapojadili maswala ya kisiasa na kuwaeleza madhaifu yao wanakimbilia kukuita wewe ni Chadema au CCM.
Tatizo Hilo lipo kwa wafuasi wa vyama vyote.
 
Sisemi kuwa vyama vingine kama CCM havina tàbia ya aina hiyo. Vinavyo lakini Kwa kiwango kidôgo ukilinganisha na CHADEMA.

CHADEMA Kwa tàbia hiyo mbaya ndîo Kinara namba Moja.
Wewe mwenyewe hapa umejitambulisha waziwazi kuwa kinara wa hao unao walaumu. Wewe ni sehemu muhimu la tatizo unaloliona wewe kuwa tatizo.
Na kwa bahati nzuri au mbaya umejitangaza mwenyewe kuwa hupo CHADEMA!
 
Kutana na DC wa kimataifaa alafu njoo andika upumbavu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…