Mcheza Viduku
JF-Expert Member
- Jun 24, 2020
- 1,111
- 2,754
Ngoja na mi nijiseti mapema nikioa tu niwe na ka utaratibu kangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi naona mwanaume Yuko sahihi kabisa Mimi binafsi staki mazoea hayo ya kuombana chumvi Mara ku share jiko sijui msosi huko Ni kutokujielewa tu na kuharibiana budget kwa kweli. Mimi mwenyewe nikiwa Sina hicho kitu siombi, maana omba omba huwa nikujizalilisha na ulizoea vya bure unalemaa, so Mimi siwezi subiri mwanaume anikataze naweza ku handle mapema tu hyo situation.
Mimi naona mwanaume Yuko sahihi kabisa Mimi binafsi staki mazoea hayo ya kuombana chumvi Mara ku share jiko sijui msosi huko Ni kutokujielewa tu na kuharibiana budget kwa kweli. Mimi mwenyewe nikiwa Sina hicho kitu siombi, maana omba omba huwa nikujizalilisha na ulizoea vya bure unalemaa, so Mimi siwezi subiri mwanaume anikataze naweza ku handle mapema tu hyo situation.
kweli aisee hii inanihusu mimi maana ni kauzu kweli kweli + sipendi mazoea na watunikiwa form 3 kuna jirani yetu alihamia kwenye jumba lake pale mtaani,alikuwa anafanya kazi BOT nadhani,alikuwa akitoka kazini akifika getini anabonyeza tu rimoti geti linafunguka anaingia kwake hana habari na watu,haongei na watu wala hajishughulishi na shda za mtaa,ila kwenye michngo mkienda kuomba michango anatoa vizuri ila hashiriki,siku ya siku mkewe alipata ajali na mtoto ote wakafariki,msibani hakwenda mtu hata mmoja sema mtaa mzima tulimchangia around 1.8m,ambzo alipeleka mjumbe toka siku hyo alibadilika na kwenda kuomba radhi kwa kila nyumba na tinted alitowaga.Ishi na watu vizuri hasa mtaani kwako haijalishi unauwezo gani au mamlaka gani kwani siku yakikukuta hao ndo wakwanza kukusaidia
Hahaa Hilo swali la mwisho SasaWe Mwanamke una akili ya maisha, safi sana maelezo yako nimeyaelewa. Hivi umeolewa?
Mjibu tuHahaa Hilo swali la mwisho Sasa
Hahaa Hilo swali la mwisho Sasa
Kautaratibu kanaepusha mengi sanaNgoja na mi nijiseti mapema nikioa tu niwe na ka utaratibu kangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Naomba jibu kama hutojali!!!
NimekachukuaKautaratibu kanaepusha mengi sana
mzee wa chai kama kawaida yako!nikiwa form 3 kuna jirani yetu alihamia kwenye jumba lake pale mtaani,alikuwa anafanya kazi BOT nadhani,alikuwa akitoka kazini akifika getini anabonyeza tu rimoti geti linafunguka anaingia kwake hana habari na watu,haongei na watu wala hajishughulishi na shda za mtaa,ila kwenye michngo mkienda kuomba michango anatoa vizuri ila hashiriki,siku ya siku mkewe alipata ajali na mtoto ote wakafariki,msibani hakwenda mtu hata mmoja sema mtaa mzima tulimchangia around 1.8m,ambzo alipeleka mjumbe toka siku hyo alibadilika na kwenda kuomba radhi kwa kila nyumba na tinted alitowaga.Ishi na watu vizuri hasa mtaani kwako haijalishi unauwezo gani au mamlaka gani kwani siku yakikukuta hao ndo wakwanza kukusaidia
Habari wadau,
Kuna jambo moja linakera ila naona wengine kama wanaona ni vizuri kwao, sasa inanifanya nijiulize nina matatizo au vipi. Ni kuhusu kupeana vitu na watu, hasa nyumbani na majirani. Sitaki Jirani anipe vitu vyake wala sitaki aniombe vya kwangu, labda awe ametokewa na shida ya kweli. Vitu vyenyewe ni kama vyakula, vifaa vya ndani, n.k
Aisee kuna nyumba za kota tumehamia mimi na wife hapa, kuna majirani wana roho nzuri lakini naona hii ni too much, wanapenda sana ku-share vitu, yaani kuna siku moja atamuita wife wakapike chakula cha pamoja, siku nyingine mwingine atapika chakula kisha atuletee wakati sisi tumeshapika, siku nyingine atawaambia mumpakulie kwa kuwa yeye hajisikii kupika siku hiyo, wakati mmepika cha size yenu pekee.
Kuna mmoja juzi katoka mkoani kaleta mazagazaga mengi kampa wife, sasa siku hiyo ndio natoka kunununa vyakula vya wiki nzima nakuta friji imeshajaa, sasa na wao unakuta siku wanakuambia gesi imeisha tunaomba tutumie jiko lenu.
Wife nishampiga marufuku kuomba ama kuchukua vitu kutoka kwa majirani lakini imekuwa mtihani kukataa na yeye akiwapa vitu kesho naye atakuja kuomba kwenu, hii inaharibu ratiba na bajeti kwani mimi ni mtu ninayependa kupangilia kila kitu changu kwa usahihi.
Naona ni kama tunalazimishana kuishi kijamaa wakati haya maisha sijayaozea kabisa, japokuwa nimekulia kijijini tulikuwa hatuombani vitu hovyohovyo, labda iwe imetokea shida ya kweli.
Sasa watu wengine niliowakuta hapa naona wanaiona ni lifestyle nzuri, najiuliza pengine mimi ndio nina roho mbaya ama hili linawakera pia baadhi yenu?
chai drymzee wa chai kama kawaida yako!
Dah... umenikumbusha back in the days!! Sister angu wa ma'mkubwa kaachika wakati alikuwa anaishi na mdogo wake aliyekuwa anasoma day! Wakapiga hesabu huyo msichana akaishi wapi wakati anamalizia shule, wakaona aje kuishi home kwetu ambako by the time nilibaki peke yangu!!Mimi naona mwanaume Yuko sahihi kabisa Mimi binafsi staki mazoea hayo ya kuombana chumvi Mara ku share jiko sijui msosi huko Ni kutokujielewa tu na kuharibiana budget kwa kweli. Mimi mwenyewe nikiwa Sina hicho kitu siombi, maana omba omba huwa nikujizalilisha na ulizoea vya bure unalemaa, so Mimi siwezi subiri mwanaume anikataze naweza ku handle mapema tu hyo situation.
Mwambie upo booked but not married toHahaa Hilo swali la mwisho Sasa
I can do anything with that lakini kukuna nazi, hapana aisee!! Hivi unapokuna nazi na zile mbuzi zetu za Uswahilini si lazima ujilegeze hivi huku unanesa nesa kwa madaha ya twiga anaetembea, au?! Au ni mbwembwe tu zile za akina dada wakuna nazi?!Mimi naona sawa tu mwanaume siku akija anipe support huongeza upendo na urafiki, sisi kwetu wanaume wanajua kupika Tena chakula kitamu Sana ndio tulivolelewa so Mimi sioni shida ukiwa mwanaume siku moja ukapika kwa familia yako.
Hii tabia ya kuishi kwa uoga na kujipendekeza kisa unaohofia hutazikwa vizuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nakachukia mno, sasa ukizikwa na watu wengi ndiyo unaenda mbinguni [emoji23][emoji23][emoji23]Acha roho mbaya. Hatuishi milele; hao ndo watakuzika siku moja.