Sipendi kuomba wala kuombwa vitu. Je, nina roho mbaya au ni kawaida?

Sipendi kuomba wala kuombwa vitu. Je, nina roho mbaya au ni kawaida?

Ukipatwa na majanga inakuwaje
Vyovyote tu itakavokuwa japo siombei hyo Hali Ila nimekuwa naona kila mtu Yuko busy na mji wake Sasa hii Mara chumvi, sijui kushare gesi staki Mimi kabisa, Kama Ni janga linipate nitapata tu msaada, hata sehemu nilipo na watu wangu wakaribu waelewa wakujushika mkono
 
Malezi na makuzi yana matter sana.
 
Hii tabia anayo sana ndugu yangu kupenda penda vitu vya watu. Na kila siku huwa namwambia.
Huniita kuwa nina roho mbaya ila kila nikijichunguza sioni hilo.
 
Yaan mim siwezi ruhusu aisee Mazoea ya kuingia nyumbani kwa watu bila kukaribishwa
Mazoea mabaya sana tena wanawake sisi kwa ugomvii heeeeeee
 
Maisha ya hivyo mwisho wa siku maugomvi, binafsi naona uko sawa.
 
Hali hiyo inatokana na athari ya siasa ya UJAMAA na KUJITEGEMEA. Watz tunaishi kindugu, ni jambo zuri maana huchochea upendo kwenye jumuiya ya watu ingawa kwa ulimwengu wa leo tabia hiyo huwa ni kero. Siku hizi wanadamu wengi tumekuwa wabinafsi na wachoyo.
Hamna sera za kisiasa katika hili. Anayefanya hivi ni kwa utashi wake na anajua anachokipata kama ilivyoelezwa na muanzisha uzi. Kuwa wanaodai wakarimu ili siku usiyotarajia wanakuvamia na kuchukua au kudoea chochote ulicho nacho na hutakuwa na jinsi ya kuwakatalia.
 
Mkuu hiyo siyo roho mbaya,majiran wengi wanavuka mipaka Na kuanza kudadisi mambo yasiyowahusu,binafsi nimeshudia hivyo ,ushauri.wangu mkanye mkeo asiwe anaenda kwa jirani,jirani anaweza akawa mtu mzuri Na m'baya kwako....
 
Nimegundua kitu ,hao majirani wana kupanga tu ili uzoee life style Lao.,ila jiulize kabla ya ww kuhamia waliishije ....
 
Back
Top Bottom