Sipendi kuomba wala kuombwa vitu. Je, nina roho mbaya au ni kawaida?

ujamaa mwingi ndio chanzo cha mifarakano mingi katika jamii ,ukizoeana sana na ndugu,marafiki, majirani, makazini, makanisani lazima ukutane na majanga
unachotakiwa kufanya usijenge nao mazoea ya kushirikiana na vitu vidogo dogo, kuwa nao kwenye shida yenye logic kama na za starehe uwe na kiasi si daily
 
Inakuwaje hupendi harufu ya bata lakini unawafuga na kuishi nao na ukichinjiwa unawala?
 
Si kweli..
Wanampanga tu a adapt lifestyle yao..

Hawana jema hao. Na namshauri jamaa awaepuke fasta.
Au kuna kitu wanahitaji kwake, badae lakini ( kumfix)

Inaonekana jamaa ndo njema hapo so wanampanga kwanza
 
Thats it..

Awe makini sana. Uswahilini si kuzuri.

Siku atakuta wameazima mke. Maana spidi yao si ya kawaida.
 
Habari wadau,

Kuna jambo moja linakera ila naona wengine kama wanaona ni vizuri kwao, sasa inanifanya nijiulize nina matatizo au vipi. Ni kuhusu kupeana vitu na watu, hasa nyumbani na majirani. Sitaki Jirani anipe vitu vyake wala sitaki aniombe vya kwangu, labda awe ametokewa na shida ya kweli. Vitu vyenyewe ni kama vyakula, vifaa vya ndani, n.k

Aisee kuna nyumba za kota tumehamia mimi na wife hapa, kuna majirani wana roho nzuri lakini naona hii ni too much, wanapenda sana ku-share vitu, yaani kuna siku moja atamuita wife wakapike chakula cha pamoja, siku nyingine mwingine atapika chakula kisha atuletee wakati sisi tumeshapika, siku nyingine atawaambia mumpakulie kwa kuwa yeye hajisikii kupika siku hiyo, wakati mmepika cha size yenu pekee.

Kuna mmoja juzi katoka mkoani kaleta mazagazaga mengi kampa wife, sasa siku hiyo ndio natoka kunununa vyakula vya wiki nzima nakuta friji imeshajaa, sasa na wao unakuta siku wanakuambia gesi imeisha tunaomba tutumie jiko lenu.

Wife nishampiga marufuku kuomba ama kuchukua vitu kutoka kwa majirani lakini imekuwa mtihani kukataa na yeye akiwapa vitu kesho naye atakuja kuomba kwenu, hii inaharibu ratiba na bajeti kwani mimi ni mtu ninayependa kupangilia kila kitu changu kwa usahihi.

Naona ni kama tunalazimishana kuishi kijamaa wakati haya maisha sijayaozea kabisa, japokuwa nimekulia kijijini tulikuwa hatuombani vitu hovyohovyo, labda iwe imetokea shida ya kweli.

Sasa watu wengine niliowakuta hapa naona wanaiona ni lifestyle nzuri, najiuliza pengine mimi ndio nina roho mbaya ama hili linawakera pia baadhi yenu?
Mimi naongea kijasusi zaidi Kwanza nakushauri Fanya kila unaloweza stop hii Aina ya ujirani and if possible Hama Hama haraka wewe umeshamalizwa na any time unaweza Kuwa ktk huzuni Kwa huruma za kijinga.

Watu ni wa Baya Sana nakwambia kiasi kama umepikwa ukapikika huwezi Fanya haka kamchezo unakafanya. Una maana Kwa mchezo huu hakuna Siri.

Kuna watu duniani huwapenda watu nakuwaweka Karibu ili Tu kuwasoma maisha Yao na mwisho kuwaumiza. Jirani yako anakupa upendo ila mwisho utaumia nakusema laiti ningejuwa.
Inawezekana kabisa upo vizuri kimaisha kuzid yeye au yeye yupo kimaisha vizuri kuzidi wewe na hapo ndipo kuna fumbo kama yeye yupo vizuri basi Eva wako wanyumbani atakuletea tunda ule na kama wewe upo vizuri basi Delila wako nyumbani atatumika kutoa Siri ya nguvu zako wakumalize.

Epuka kabisa mkeo Kula au kupenda chukua chakula Kwa jirani nakupika Kwa ajili ya familia nihatari Sana ktk ulimwengu wa Giza tunaishi. Nyanya moja Tu iliopelekwa Kwa wataalamu inaweza kubadili furaha ya familia yako nakuwa huzuni. Au watu wajinga why kupenda vya bure na kupewa. Hivi kweli MTU anaenda sokon nakufanya shipping yake na familia yako unakubali hatari sana. Nataka nikukumbushe shetani hatowi cha bure na MTU anayepata ujira wake Kwa halali hawezi Fanya shopping ya familia nyingine je jiulize ndugu zake wana hali gani? Nakwanin kama anaupendo asishughulike na familia yake why wewe,? Alafu huwo mchezo wanipe nikupe unajuwa athari zake.? Stop stop.

Mkeo anampikia mume wa MTU indirect na wew unajitia kitanzini nimeona hili na nihatari Sana Kwa ndoa yako.

Sumu Kwa ajili ya wivu inawezekana mkeo no mchapa KAZI Mzuri na jamaa amempenda na ili asipate shida Kwa aina hii ya upendo nirahisi kutiliwa Sumu na ukapotea na watu wakajirisisha.

Mwisho Siri hamna ndani taka usitake na hapo ndio pabaya. Nakusihi stop haraka hii hali
 
Yaani kama wewe unaona uzito kuomba basi usikubali kuombwa vinginevyo utaishi katika kifungo xana na maixha yasiyokuwa na furaha zaidi ya unafiki tu.
 
Yaani kama wewe unaona uzito kuomba basi usikubali kuombwa vinginevyo utaishi katika kifungo xana na maixha yasiyokuwa na furaha zaidi ya unafiki tu.
 
Yaani kama wewe unaona uzito kuomba basi usikubali kuombwa vinginevyo utaishi katika kifungo xana na maixha yasiyokuwa na furaha zaidi ya unafiki tu.
 
Yaani kama wewe unaona uzito kuomba basi usikubali kuombwa vinginevyo utaishi katika kifungo xana na maixha yasiyokuwa na furaha zaidi ya unafiki tu.
 
Habari wadau,

Kuna jambo moja linakera ila naona wengine kama wanaona ni vizuri kwao, sasa inanifanya nijiulize nina matatizo au vipi. Ni kuhusu kupeana vitu na watu, hasa nyumbani na majirani. Sitaki Jirani anipe vitu vyake wala sitaki aniombe vya kwangu, labda awe ametokewa na shida ya kweli. Vitu vyenyewe ni kama vyakula, vifaa vya ndani, n.k

Aisee kuna nyumba za kota tumehamia mimi na wife hapa, kuna majirani wana roho nzuri lakini naona hii ni too much, wanapenda sana ku-share vitu, yaani kuna siku moja atamuita wife wakapike chakula cha pamoja, siku nyingine mwingine atapika chakula kisha atuletee wakati sisi tumeshapika, siku nyingine atawaambia mumpakulie kwa kuwa yeye hajisikii kupika siku hiyo, wakati mmepika cha size yenu pekee.

Kuna mmoja juzi katoka mkoani kaleta mazagazaga mengi kampa wife, sasa siku hiyo ndio natoka kunununa vyakula vya wiki nzima nakuta friji imeshajaa, sasa na wao unakuta siku wanakuambia gesi imeisha tunaomba tutumie jiko lenu.

Wife nishampiga marufuku kuomba ama kuchukua vitu kutoka kwa majirani lakini imekuwa mtihani kukataa na yeye akiwapa vitu kesho naye atakuja kuomba kwenu, hii inaharibu ratiba na bajeti kwani mimi ni mtu ninayependa kupangilia kila kitu changu kwa usahihi.

Naona ni kama tunalazimishana kuishi kijamaa wakati haya maisha sijayaozea kabisa, japokuwa nimekulia kijijini tulikuwa hatuombani vitu hovyohovyo, labda iwe imetokea shida ya kweli.

Sasa watu wengine niliowakuta hapa naona wanaiona ni lifestyle nzuri, najiuliza pengine mimi ndio nina roho mbaya ama hili linawakera pia baadhi yenu?

Hamia ushuani uishi ndani ya geti lako hutokumbana na kero za Kota za kuombana chumvi!
 
nikiwa form 3 kuna jirani yetu alihamia kwenye jumba lake pale mtaani,alikuwa anafanya kazi BOT nadhani,alikuwa akitoka kazini akifika getini anabonyeza tu rimoti geti linafunguka anaingia kwake hana habari na watu,haongei na watu wala hajishughulishi na shda za mtaa,ila kwenye michngo mkienda kuomba michango anatoa vizuri ila hashiriki,siku ya siku mkewe alipata ajali na mtoto ote wakafariki,msibani hakwenda mtu hata mmoja sema mtaa mzima tulimchangia around 1.8m,ambzo alipeleka mjumbe toka siku hyo alibadilika na kwenda kuomba radhi kwa kila nyumba na tinted alitowaga.Ishi na watu vizuri hasa mtaani kwako haijalishi unauwezo gani au mamlaka gani kwani siku yakikukuta hao ndo wakwanza kukusaidia
Hyo sio sababu ya kuzoeana ka chupi na tako aisee tukutane kwenye jumuiya tuachane huko hyo ya kupikilishana na sijui Nini mwisho huwa mubaya, kwangu Mimi heri wasije tu siku nkipatwa na yangu, Ila sio hayo mazoea
 
Unajitia jeuri eeeh
 
nikiwa form 3 kuna jirani yetu alihamia kwenye jumba lake pale mtaani,alikuwa anafanya kazi BOT nadhani,alikuwa akitoka kazini akifika getini anabonyeza tu rimoti geti linafunguka anaingia kwake hana habari na watu,haongei na watu wala hajishughulishi na shda za mtaa,ila kwenye michngo mkienda kuomba michango anatoa vizuri ila hashiriki,siku ya siku mkewe alipata ajali na mtoto ote wakafariki,msibani hakwenda mtu hata mmoja sema mtaa mzima tulimchangia around 1.8m,ambzo alipeleka mjumbe toka siku hyo alibadilika na kwenda kuomba radhi kwa kila nyumba na tinted alitowaga.Ishi na watu vizuri hasa mtaani kwako haijalishi unauwezo gani au mamlaka gani kwani siku yakikukuta hao ndo wakwanza kukusaidia
Acha kujustify mambo ya hovyo.
 
Back
Top Bottom