Sipendi kuomba wala kuombwa vitu. Je, nina roho mbaya au ni kawaida?

Kukaribishana huwa kero mwingine Hana shida na kitu Ila anakuja kuchunguza ndani kwako kukoje, na wengine hudiriki kukupangia fanya hichi na kile. In short mjini kuzoeana na watu Ni hatari sana
 
Kwa Mimi ninaye Pika Mara kwa Mara naona Nazi za Azam Ni too fake haina uhalisia zile hufanya tu supu iwe nzito Ila haina ladha alisia, tofauti na ukipikia Nazi ya kawaida ka Ni ubwabwa utajing'ata wallah mchuzi ndio usiseme, pia Nazi za American garden ilikuwa ukipikia tambi lazima ujing'ate kwa utamu.
 
Mimi pia nilikuwa napikia za Bakhressa ila tangu nimeanza kutumia hizi fresh aisee sijawahi kuzirudia zile
 
Mimi pia nilikuwa napikia za Bakhressa ila tangu nimeanza kutumia hizi fresh aisee sijawahi kuzirudia zile
Zimekuwa too fake zile Nazi ka za kichina, dah Mimi nitaendelea tu kukuna hizi za kawaida
 
Hata usingekuwa Mbinafsi pia wanaweza kukuita Mbinafsi, ndivyo walivyo wabongo.

Ni vizuri kuishi utakavyo sio jinsi watakavyo watu.
Hahaaa Ni kweli waja wake Mola huwa hatuna jema
 
Nimegundua una matatizo mengi sana.kitendo cha kufanya manunuzi ya chakula mwenyewe na wakati una mke ni janga hilo
Kwa hiyo Kama nimetoka kazini narudi home nisinunue vitu hadi nifike nyumbani kisha nimrudishe wife Tena?
Mentality za wapi hizi?
 
If it's my house it's my business, everything that happens there is my business
 
Dah! Yaani ndo nianze kwenda sokoni kununua nazi huku nikitafuta mineso amazing wakati wa kukuna nazi 😢?! Hapana aisee, wacha tu niendelee kujitundika uji wa Azam!!

Hizo za American Garden mbona unazielezea in a past tense?! Ina maana hivi sasa hazipo?!
 
Zimekuwa too fake zile Nazi ka za kichina, dah Mimi nitaendelea tu kukuna hizi za kawaida
cariha acha kuzivunjia heshima nazi zetu bhana... sasa unataka na sie tuanze kukuna nazi, au?!!! Sema haya madudu kama yana madhara, I guess nitakuwa nimeshaathirika tayari!!!
 
Nitaifuata mwenyewe... nagonga mlango mfululizo hadi unafungua!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikisikia mtu anagonga kwa fujo najua Chige tu huyu sifungui!
 
cariha acha kuzivunjia heshima nazi zetu bhana... sasa unataka na sie tuanze kukuna nazi, au?!!! Sema haya madudu kama yana madhara, I guess nitakuwa nimeshaathirika tayari!!!
Zinaondoa nguvu za kiume kwa hiyo sasa hivi ushaishiwa weye[emoji1787][emoji1787] imebaki heshima tu
 
Nyie mtakuja farakana muda si mrefu...... yanaanzaga hivyo hivyo

Mwambie mkeo awe na mipaka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti kutafta mineso ya kukuna nazi
 
cariha acha kuzivunjia heshima nazi zetu bhana... sasa unataka na sie tuanze kukuna nazi, au?!!! Sema haya madudu kama yana madhara, I guess nitakuwa nimeshaathirika tayari!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…