cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Kukaribishana huwa kero mwingine Hana shida na kitu Ila anakuja kuchunguza ndani kwako kukoje, na wengine hudiriki kukupangia fanya hichi na kile. In short mjini kuzoeana na watu Ni hatari sanaYaani mwaka nikija kuishi na mtu wa hodi hodi nyumba za watu, wallah atakuja kunikondesha! Hakuna kitu nisichopenda kama mtu wa hodi hodi nyumba za watu tena bila sababu za msingi kwa sababu, binafsi nikikupigia hodi kwako basi fahamu malaika atakushukia hiyo siku!! Ndo maana yule sister angu alinikera kupita maelezo... yaani hujamaliza hata wiki tayari unaenda kwa jirani kuomba chumvi!!!!!
Anyway, nadhani mazingira aliyokulia yalichangia coz' alikuja mjini kusoma sec baada kufeli Std VII huko kwao!! Probably kwa maisha ya vijijini, mambo ya kuombana chumvi ni ya kawaida!