Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Ndio pesa zote unampa tu,,yeye hukupa ninii??hukujulisha faida anayoingiza,,je una mamlaka na hizo pesa zake pia?natokea mnaachana huna kitu shauri lako
 
Mim siwezi aisee ntampa lakin awe ananirudishia na sio kumpa kila mara
 
Aww You are so innocent..ila usizidi sana asije akajisahau huyo huwaga wanatabia za kujisahau mfanye pia ajione yupo responsible sijaona sababu ya kukataa hadi pesa za matumiz ya hapo home!
 
Mme wako amepata mke mwenye upendo wa dhati kabisa*(unconditional love)*
 
Duuh watu wanapitia magum sana lakin ukikutana nae anatabasam tu ndo maana kamwe stokuja mdharau mtu asee
Maana akijuhadithia basi tu.
 
Duuh watu wanapitia magum sana lakin ukikutana nae anatabasam tu ndo maana kamwe stokuja mdharau mtu asee
Maana akijuhadithia basi tu.


mtu anakujeruhi hisia zako had unabadilika na kuwa malaika mbaya !mxiewww
 
Jitahidi meweke malengo ya pamoja na co kila mtu na lengo lake itasaidia sana

Mwanamke mwema kumbe wapo wa haina hii sema sasa wachache

Ukipata shikilia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ela usimpe ila mkumbuke mwenzio japo vi boxer boxer maana wanaume walivyo hawajali kuna siku mumeo atajikuta anatembea vipumbu nje baada ya suruali kutatuka katikati huku boxer ya ndani ikiwa imeachia

Sent using Jamii Forums mobile app



hahahahahahaha moyo wangu ushaingiwa giza! siwezi tena !lol zikiisha namstuaga!
 
Eti unampaga ela na kuzizika ndoto zako kisa mnaota pamoja?

Sent using Jamii Forums mobile app


hahaahhaa alwys we dada huwa unanichekeshaga na comments zako hahahha!eti kuota pamoja! binafs ninawaelewa sana wanaume aisee! unawezza hisi mpo njia moja kumbe hakuna kitu km hicho!yelewiiiiiiiiiiiiiii
 
Mim siwezi aisee ntampa lakin awe ananirudishia na sio kumpa kila mara
Ni dhambi kubwa mwanamke kuchukua majukumu ya kulisha familia huku mumewe akiwa na uwezo wa kutafuta,kisa cha upendo kisiondoe majukumu ya baba kwenye nyumba yake,akiwa na shida mpe msaidie ila usizizike ndoto zako kisa kutimiza hitaji la mumeo ili abaki na furaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na mie nimemuuliza amelileta la nn kma sio kutaka likes huku! km anaona fair hakukuwa na haja kbs kuleta huku
Unajua angekuwa amelileta kama somo sawa ningemuelewa, lakini amelileta kama swali, ikimaanisha hata yeye anajishangaa kwa anachofanya, na lipo linalomsumbua, kuna kitu hakiko sawa mahali na ndio linalompa hofu. Kuna kitu hajakieleza huyu kuhusu Huyo mumewe sio bure.

Kwanza kitendo tu cha yeye kutaka kutimiza ndoto zake kimya kimya bila kumshirikisha mumewe kinaonyesha kuna shida mahali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…