una moyo mzuri sana, kuna jamaa yangu aliambiwa na wife wake 'wale wenzetu wa marangu' kwamba kuliko nikupe ATM yangu ni bora nikuue
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WANAUME NI WABINAFSI ONA WALIVOCHANGIA HUU UZI.
Duuh watu wanapitia magum sana lakin ukikutana nae anatabasam tu ndo maana kamwe stokuja mdharau mtu asee[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] dahhhh Mimi ilinitokea aiseeee nilimpenda mwanaume alikuwa nakazi akaja akasimamishwa kazi mpaka akiumwa ni juu yangu kuanzia chai ya asubuhi ,mchana,jioni nimimi maji anayooga Mimi akienda kutafuta Kazi ela ya nauli ni kwangu Jamani kiukweli nilimpenda sana ikaja tokea kanipa mimba nililia kwababu Mimi mpaka babu akatupangia pakukaa kitanda,kijiko,uma,madumu ya maji ,godolo majiko ,vyakula ikawa Na mimba yangu mwanaume anaondoka anaenda kutafuta riziki akirudi hana kitu Mimi niliweka moyoni mpaka kesho hakuna ndugu yangu hata mzazi wangu aliejua nilikuwa nalala njaa siku hamna chakula natoka naenda nyumbani najifanya naenda kusalimia maana najua nikiondoka nabebeshwa vitu kiukweli babu yangu ananipenda sana nakumbuka Na mimba mwanaume aliondoka siku 3 yupo kwao mlandiz ameniachia 2000 tu Jamani nilikuwa kimya nikitoka nacheka namajirani nikiingia kwangu nalia nikichoka nalala nilinunua unga nilikuwa nikisikia njaa nakologa uji nakunywa mpaka anarudi siku naenda kujifungua hana ela alikimbia aibu alinitelekeza Na mtoto toka siku nazaaa nikaludi akaja akaomba msamaha akidai aibu alikimbia familia isingemuelewa hana ela namimi nimefanyiwa operation kubwa ,Jamani baada ya kupata Kazi mwanaume alinitelekeza Na mtoto Wa miez 3 nililudi nyumbani kwababu sitasahau mpaka unaingia kaburini Watoto Wa babu mashangazi walinitesa nawananitesa Mwanangu namimi tulikuwa tunanyimwa chakula baba mtoto ukimtafuta anakutukana,mtoto akiumwa anamwambia naakifa utamla nyama Jamani kiukweli alisahau yote niliomfanyia mpaka Leo Mwanangu anamiaka 8 ata ada ya mtoto au hata pencil hajui ya baba yake bola uwekeze
Kwa mwanao sio mwanaume jamani[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] huyu Dada namhurumia Jamani akumbuke kunakifo hivi mungu akimchukua Watoto hujawawekea misingi kuna ndugu pia wakija kufilisi Mali utalia Na nani pia kumbuka uyo mwanaume ni binadamu akija kubadilika utaishije imeandikwa alaaniwae amtegemeaye mwanadamu katika bible Dada jisimamie Mimi sio baba mtoto tu nishakuwa Na uhusiano mwingine mwanaume anashida unajitoa Jamani mwisho Wa siku akipata kwake huna thamani ila wakiwa Na shida niwapole sana katika hao wawili sitopenda mwanaume eti mpaka nimsaidie ni ngumu akomae nahali yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh watu wanapitia magum sana lakin ukikutana nae anatabasam tu ndo maana kamwe stokuja mdharau mtu asee
Maana akijuhadithia basi tu.
Duuh asee watu wanapitia mengi
Ela usimpe ila mkumbuke mwenzio japo vi boxer boxer maana wanaume walivyo hawajali kuna siku mumeo atajikuta anatembea vipumbu nje baada ya suruali kutatuka katikati huku boxer ya ndani ikiwa imeachia
Eti unampaga ela na kuzizika ndoto zako kisa mnaota pamoja?Mmmmh
Ela usimpe ila mkumbuke mwenzio japo vi boxer boxer maana wanaume walivyo hawajali kuna siku mumeo atajikuta anatembea vipumbu nje baada ya suruali kutatuka katikati huku boxer ya ndani ikiwa imeachia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni dhambi kubwa mwanamke kuchukua majukumu ya kulisha familia huku mumewe akiwa na uwezo wa kutafuta,kisa cha upendo kisiondoe majukumu ya baba kwenye nyumba yake,akiwa na shida mpe msaidie ila usizizike ndoto zako kisa kutimiza hitaji la mumeo ili abaki na furahaMim siwezi aisee ntampa lakin awe ananirudishia na sio kumpa kila mara
Unajua angekuwa amelileta kama somo sawa ningemuelewa, lakini amelileta kama swali, ikimaanisha hata yeye anajishangaa kwa anachofanya, na lipo linalomsumbua, kuna kitu hakiko sawa mahali na ndio linalompa hofu. Kuna kitu hajakieleza huyu kuhusu Huyo mumewe sio bure.na mie nimemuuliza amelileta la nn kma sio kutaka likes huku! km anaona fair hakukuwa na haja kbs kuleta huku