Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Uuuuwwwiiii ebu nami niolewe Mungu weeeee sikia maombi yangu nami nione yaliondani

Sent using Jamii Forums mobile app
Doris Gabriel, Uwe na moyo wa kutaka kukaa sio kuona tu. Kwa maana Wengi huwa wanatamani kuingia wakati wengine wanataka kutoka. Mungu akusaidie usiwe miongoni mwa watakaoingia na kutoka.

Muhimu ujue pia ndoa nyingi imara na zilizo na furaha huwa zinajengwa na Mwanamke.
 
hahaahhaa alwys we dada huwa unanichekeshaga na comments zako hahahha!eti kuota pamoja! binafs ninawaelewa sana wanaume aisee! unawezza hisi mpo njia moja kumbe hakuna kitu km hicho!yelewiiiiiiiiiiiiiii
Mbitiyaza mama siku zote za kuambiwa changanya na zako! Nitakua nae bega kwa bega hatua kwa hatua lakini si kuzidharau ndoto zangu that will never happen in my life, tukumbuke kuna maisha baada ya kuwa na wao kuna kifo pia imagine akifa huku ukiwa huna ndoto hata moja uliyowahi ianza kuitimiza UTALIA KILIO CHA MBWA UKOSE WA KUKUNYAMAZISHA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


huyu mdada mie nimemwelewa anahis kumpa aman mumewe ni kumridhisha kwa pesa! yaan yy anachotaka ni aman bas amuone mumewe anakenua meno moyoni kwatuuuuuu! mbn mie ndoa yangu ina amana full comedy full vicheko lakini sishei nae tena hela na anajua! yaan hapana aiseee! wanaume weng wanataka ukitonga!....

mwaka huu nilinunua mbuzi weng kwa bei ya bure... nikamshirikisha mwenzang kama kawa hana hela! nikawaleta home! a week after nikasafiri! huez amini nikakuta amechinja mbuzi 1! eti ya mboga hom bila kunishirikisha! kamchagua alonona na mbaya zaid alichinja jike kumbe lina kamimba ka watt wawili!alinunua KONYAGI kubwa akawa anashinda anachoma nyama tu huku analewa!niliudhikaaa! na huku mie niliwabamba wale mbegu wa kuzaa matwins! uwiiii ndo hapo nilihis naishi na sukule la gwajima! imagne kweli jaman!aku....leo hii mtu aniseme ninn!
 


umenena mama!
 
hahaahhaa alwys we dada huwa unanichekeshaga na comments zako hahahha!eti kuota pamoja! binafs ninawaelewa sana wanaume aisee! unawezza hisi mpo njia moja kumbe hakuna kitu km hicho!yelewiiiiiiiiiiiiiii
Halaf kumbe huko pembeni kuna kidemu kinahongwa balaaa,,
 
[emoji1] [emoji1] kweli shemeji ni wa kipekee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi angenilipa pesa na ya hao mbuzi waliokuwa tumboni
 


bora useme wewe ngj nimuite hapa emoji mama njoo hapa! kipi kimekupelekea kujiuliza namnA hii mbn maelez yako yanaonesha hakuna shida popote pale? mie nilijiuliza kwa marafik baada ya kuona mizan haipo balanced! namjali yeye hanijali! kwahyo hapo kwaajili nilikua mzima kichwan nikajua hapa sio sawa ndo nikawauliza marafk! ehee na ww mwenzetu why umeamua kushare na ss hapa! au ulikua unatoa SEMINA ?UMESHINDWA KUIWASILISHA VYEMA BASI.
 
Teh teh weka ganda la ndizi niteleze wallah ila ntahakikisha silambi mchanga,sianguki hata goti nitalitumia kujizuia. Wanawake tuwe na akili B wakati mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahhhah stargirl nilinuna na wala sikuila nyama! alisema atailipa hapo ilikua jan wakat ule wa ukame mbuzi zilikua very cheap mpk leo kimyaaa! mie nasema kweli nimuhanga sana wa maisha ya namna hii kumridhisha JINI NA HUKU KITI ANAUMIA


Mi angenilipa pesa na ya hao mbuzi waliokuwa tumboni
 
Hivyo ndivyo inatakiwa uwe... na ndoa yako inadumu labda kwa sababu hiyo tu, ishi hivyo hivyo na mumeo as long umesema hana starehe wala matumizi mabovu basi usichukue ushaur wa mashosti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teh teh weka ganda la ndizi niteleze wallah ila ntahakikisha silambi mchanga,sianguki hata goti nitalitumia kujizuia. Wanawake tuwe na akili B wakati mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app


hahahahha mie baba mwaka jana amenishika sikio akanimbia sifa ya wanaume wa kabila lake!imagn mzaz wako wa kiume anakuambia AMKA! hhhehhe mie uwiii kweli nilikua zoba
 
Mshukuru Mungu kwa ndoa yako hiyo! Pia Hongera kwa sababu mafanikio ya mumewako ni ya wote/familia, kwa hiyo usiogope, na ndio inavyotakiwa iwe, ingawa wanawake wengi hawako hivyo!
Nakushauri uzidi tu kumshirikisha unachotaka kukifanya mwanzoni kbsa naamini atakusupport kwa sababu ukikua kibiashara na ukaninuka na yeye atakuwa ktk nafasi nzuri!
Your a true woman!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maneno machache kabisa, WEWE NI MALAIKA, acha kabisa kutafuta ushauri popote, ulivyoumbwa ndivyo ulivyo, usijibadili kwa kutaka kusikia kutoka kokote.

Mungu akuzidishie kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…