Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Kweli kuna shida mahali. Hatukatai kumsaidia Mume Ila not to that extent aisee. Ndio maana hata yeye anajishangaa.
 
Kiukwelii namwomba Mungu anipe mke kama ww maana kwa hizi nyakati niwachache
 
unafanya makubwa ambayo wanawake wengi hawawezi kuwafanyia waume zao, ila ondoa wazo la kuwa hujafikia malengo yako uliyojiwekea kabla ya ndoa maana mkiwa kwenye ndoa hakuna malengo binafsi ila kuna kujenga familia na kupata maendeleo kama familia na si malengo/maendeleo ya mume au mke.
 
...nisiwe mnafiki kwangu ni bora usinihudumie naweza kwa kimya kuliko na pesa nikupe jamani,hapo si bora kuishi mwenyewe kuliko uzae,ulee,na mume umuhudumie loh!!
 
Kweli kuna shida mahali. Hatukatai kumsaidia Mume Ila not to that extent aisee. Ndio maana hata yeye anajishangaa.


hehehehehe! tutaambiwa tunamfundisha ujinga! heheh kwamba ndoa zetu znapumulia mashine.. acha zipumlie machine lakin siokumfurahisha men aisee !
 
Yaani unaipenda ndoa yako na unampenda mumeo lakini una mawazo ya ubinafsi ndani yako. Unaposema ndoto zako....zako peke yako? Mkishaowa/olewa mnakuwa mwili mmoja mtimize ndoto zenu wote. After all, tunapendana not to be happy....but to make our partners happy. Not to receive but rather to give out. That's love.

Nakuombea kwa Mungu akutunzie ndoa yako.

Sukari Yenu
 
Tumuombee Jini mkata kamba awapitie mbali InshaAllah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…