chaggaa15
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 567
- 468
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kuna shida mahali. Hatukatai kumsaidia Mume Ila not to that extent aisee. Ndio maana hata yeye anajishangaa.Kumbe na wewe umeona kitu hapo eeh,
Blaah blaah kibao lakini shida ipo hasa ukiwa makini na story yake,
Anyway ngoja tuendelee kusoma comments za wadau maana sifa nyingi zitatoka kwa hao wanaopenda kukanyaga maganda ya ndizi wapate kutereza [emoji125][emoji125][emoji125]
Kweli kuna shida mahali. Hatukatai kumsaidia Mume Ila not to that extent aisee. Ndio maana hata yeye anajishangaa.
Mbon huwa naandika jamani bora uzi unifae tu cc demi
Hisia zangu zinanipeleka huko [emoji28][emoji28][emoji28]
WEWE NI MKENYA MWENYE ROHO NZURI WAKWANZA WA KIKE
WEWE NI MKENYA MWENYE ROHO NZURI WAKWANZA WA KIKE
Tumuombee Jini mkata kamba awapitie mbali InshaAllahMshukuru Mungu kwa ndoa yako hiyo! Pia Hongera kwa sababu mafanikio ya mumewako ni ya wote/familia, kwa hiyo usiogope, na ndio inavyotakiwa iwe, ingawa wanawake wengi hawako hivyo!
Nakushauri uzidi tu kumshirikisha unachotaka kukifanya mwanzoni kbsa naamini atakusupport kwa sababu ukikua kibiashara na ukaninuka na yeye atakuwa ktk nafasi nzuri!
Your a true woman!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa mwanamke wa kufuta ndoto zake kisa zako labda umchonge wa kinyagoKiukwelii namwomba Mungu anipe mke kama ww maana kwa hizi nyakati niwachache
Ni hatari,si hali ya kawaida hii[emoji28] ....Bora upite maana.....
Ni hatari,si hali ya kawaida hii[emoji28] ....
Kwa sasa mwanamke wa kufuta ndoto zake kisa zako labda umchonge wa kinyago
Sent using Jamii Forums mobile app