Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Yeah kuna siku aliniambia tuzae tena nilikataa Na siwez Jamani Hapana nimeteseka Mimi ukimpeleka mtoto kwao ukifika wanakuangalia wewe asubuhi mpaka jioni mama mkwe anapiga kabisa anaitaji ela ,yaani mpaka sasaivi nikiona simu zao sipokei maana sinaela babu namtegemea anaumwa imebid niwachunie

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kwa uchungu lakini

Doris hiyo sio akili yako, unawezaje kufanya upuuzi wa namna hiyo?
Yaan huna kipato ndio kwanza unamtegemea babu alafu unachukua pesa kwa babu ndio uzitawanye [emoji119][emoji119]

Hizo story najua zinapatikana bongo movie tuu kumbe kwenye normal life zinatokea aiseeh embu kimbilia kwenye maombi haraka sana haupo sawa wewe kabisa.
 
Sikia mkuu wee kaz utakayopata fanya tu usilazmishe adi upate ka Uliyosomea
 
Mpo sawa just continue kumsupport
 
Hayo ndiyo maisha ya amani, kuekewana na kusikilizana. Ungempa pesa na kuchepuka nazo lakini akatimiza malengo yenu ya maisha. Kabla ya kuoana mlimuomba sana Mungu nae akawaunganisha na matunda ni hayo. Wamaume wanatamani kupata mtu kama wewe, ubarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mama nakuomba pm nina maswali ya faragha, please
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kwa uchungu lakini

Doris hiyo sio akili yako, unawezaje kufanya upuuzi wa namna hiyo?
Yaan huna kipato ndio kwanza unamtegemea babu alafu unachukua pesa kwa babu ndio uzitawanye [emoji119][emoji119]

Hizo story najua zinapatikana bongo movie tuu kumbe kwenye normal life zinatokea aiseeh embu kimbilia kwenye maombi haraka sana haupo sawa wewe kabisa.[/QUOTE]
Dahhhhhh yaani acha tu[emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kwa uchungu lakini

Doris hiyo sio akili yako, unawezaje kufanya upuuzi wa namna hiyo?
Yaan huna kipato ndio kwanza unamtegemea babu alafu unachukua pesa kwa babu ndio uzitawanye [emoji119][emoji119]

Hizo story najua zinapatikana bongo movie tuu kumbe kwenye normal life zinatokea aiseeh embu kimbilia kwenye maombi haraka sana haupo sawa wewe kabisa.[/QUOTE]


hahahah ile utafiti wa 1:4 Doris Gabriel huyu yumo aisee!yaan wewe nawe MUUAJI KWA BABU YAKO AISEE! uko radh babu ateseke kisa mzaz mwenzako! hata kama unafikishwa hapana aisee! ushanikera kweli kwlei
 


hahahah ile utafiti wa 1:4 Doris Gabriel huyu yumo aisee!yaan wewe nawe MUUAJI KWA BABU YAKO AISEE! uko radh babu ateseke kisa mzaz mwenzako! hata kama unafikishwa hapana aisee! ushanikera kweli kwlei[/QUOTE]
[emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndoa isiwe na ndoto mbili, tafuteni ndoto moja au timizeni ya mumeo halafu vunja uliyonayo ndipo utakapojua kuwa kumbe paradise inaanzia hapahapa duniani

Kada wa kwenye CCM mpya
 
kubwa hilo fata nafsi yako. kama haina dukuduku kwenye ukifanyacho basi si jambo baya. afu kumbuka wewe na yeye ni mwili mmoja, wewe ni yeye na yeye ni wewe. so kinachokusukuma kufanya yote hayo ni upendo.

Kama una nafasi, jihusishe kwenye hizo shughuli za mume wako, ili ikiwezekana kusaidia, utaongeza kupunguza Jodi na pia ndoto kwa nyingine zitatimia au titre mshiriki she moyo wako.
 
Pole kwa yaliyokukuta, lakini nazani experience yako wewe na huyu dada ni tofauti, wanaume hawafanani ndugu, kuna watu wanalia kwenye ndoa lakini mimi nina mwaka 5 sasa kila siku namshukuru Mungu kwa mume alienipa kiasi kwamba nikimsikia mtu ana mwaka au miaka 2 kwenye ndoa analia mateso nabaki kushangaa, au nikisikia mtu analia ndoa ngumu sijui anasema sikuhizi hamna ndoa nabaki kushanga, ni kwasababu experience yangu ni tofauti. Huyu dada mnaweza msimuelewe ila ndoa yake ina upendo na amani ndo mana hata ana nguvu ya kufanya hayo anayofanya wanasema love conquers it all, penye upendo na amani kila kitu kinawezekana, mtu huwezi kuishi kwa kugopa usiyoyajua.
 
Mrsleo nimekupenda bure mpendwa. Ukweli hata mimi nashangaaga sana watu wakilia ndoa na kusema wanaume wote sawa na wangu hayuko hivyo.Siamini kabisa katika negative.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aya my

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ya Leo kali akili yako inabidiichunguzwe ww unapigika lkn kuna mwenzio anahudumiwa kwa kupewa matumizi kila kitu kama mke nae wala haombi anapewa tu unamhudumia kila kitu na bado aje akuache

Sent using Jamii Forums mobile app
But mpendwa kwanini kuwaza negative??.wako wanaume waaminifu wanaojali familia zao na hawana habari hata na michepuko.mume wangu ninamuamini kwa asilimia mia moja.na siamini kabisa katika negative za eti atakuja kuchepuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mpendwa kwa ushauri wako.sio kwamba sijishugulishi hapana kiukweli napambana sana katika suala na kuongeza kipato chetu zaidi na he always appreciate what am doing.ni vile tu kuna levels najipangia niwepo pale but sijafikia huko,nimeajiriwa na bado pia nafanya njia zingine mbadala wa kupata kipato zaidi.Asante tena mpendwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee yote hayo yanatokana na mwanaume anavyokujali na kujali maendeleo...hivi nikutane na mwanaume kichomi mtapanya hela nianze kumpa hela???? Hapana kwa kweli....dada hongera kumpata mwanaume mjali maendeleo.... Ondoa hofu cha msingi vile vinavyopatikana hakikisha vinamilikiwa na ninyi wawili au watoto wenu hayo ndo malengo...usiwaze kufanya mwenyewe mshirikishe mtafika mbali..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…