Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

leo nimeamka na kucheka tu! sijui why nimecheka! ila umesema mwenyew mumeo anaifanyia biashara kwa uaminifu bas we endelea kumpa tu mamy !... ila kwa mie mhenga.... kuna shida sehem...why kila mara alie lie shida kwako!hajawah kukuambia mke wangu mwezi huu tumeingiza faida kias hiki! au ni mm tu sijakuelewa!

anywys umepata mume mtaftaj pambana muongeze kipato huna haja ya kujitenga nae! pls waweza kuja share nasi hapa mwaka 2020 biashara za mumeo km hutojali! am very positive to you my dear emoji!! ili na sisi tulioshindwa kushare biashara na waume zetu tujue tunakosea wapi!

kuhusu wewe kutoarchive ur dreams wala usihofu unaachieve kupitia mgongo wa mumeo kitu ambacho ni afya sana kwa ndoa zetu !hilolisikutie hofu mamy

............nimecheka sana sana .....
demi
Neybright
Heaven Sent
espy
Nalendwa

mkuje mfundwe huku
 
Kuna wenzio watatamani sana kuwa kama wewe lakini hawawezi
 
Acha ujinga wewe tengeneza dream zako, jamaa aki-dead( japo sikuombei) ndugu watavipurusa vyote afu hutajiona mjinga. Mwache mwanaume apambane mwenyewe

Kwani Watazikwa Navyo Hata Wakivichukua? Familia Nyingi Zina Mawazo Kama Yako Mali Si Kitu Ktk Dunia Hii Hakika Nakwambia Ufalme Wa Mungu Ndio Kitu Cha Kukimbilia Mtie Moyo Binti Aendelee Kushirikiana Na Mmewe Wejenge Familia Bora Ubinafsi Asiwe Nao.
 
Kila mwanaume atakuona unachokifanya kipo sawa ila kiukweli kuna kiasi cha kumsaidia mwanaume na sio kwa kiwango kama hicho chako.

Punguza roho nzuri ambapo hatakama utakuwa unampa hakikisha wewe kama wewe una akiba yako ya kutosha na sio ya kusema umpe yote halafu usubiri mwezi ugeuke uanze kuweka upya kuna leo na kesho mumy emoj.

Wanaume sio viumbe wa kuwaamini kwa 100%.

[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Wewe hauko na amani ,ungekuwa na amani usingekuja kulalamika hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee mama hongera kwa hatua uliyofikia ila muda bado ukifikisha miaka 6 kwenye ndoa mumeo akipata mpinzani wako yaani mchepuko ndiyo utaanza kumuelewa vizuri kwa sasa bado subiria miaka kadhaa....
 
Yaani mume angekua anatafutwa kila baada ya miaka mitano kama Raisi au mbunge walahi ningegombea kuwa mume wako.
 
Hongera kwa kuwa na amani kama ulivyosema. Ila kwa maisha mnayoishi kwa jinsi ya maelezo yako inaonyesha Hamna malengo ya pamoja kila MTU ana mambo yake hii inaonyesha hata kwenye maongezi yako ".....biashara zake,!? ....... nilikuwa sizitumii nikaamua kumpa!? ........nk" Hamko pamoja kabisa.

Unaakiba kwa bank au yenye ana akiba kwa bank ila kila MTU hajui hiyo!!!!? Unataka kufungua biashara na umepata fremu yeye hajui!!!!?

Hapa kweli hata wewe ni sababu ya kutokuwa na maendeleo unayoyatamani kama familia, na bado hamja anza majukumu yakusomesha watoto yakianza maisha yatakuwa magumu kwenu aisee.

Ushauri wangu kaeni mpange mambo yanu pamoja na kuweka vipaumbele na kila mmoja ashiriki kuhakikisha mambo yanatokea kweli. Mimi pesa zangu ni za mke wangu na za mke wangu ni zangu, ndioooo!

Hapa ndivyo familia inavyotakiwa kuishi kama baba na mama au mke na mume. Mambo yake ni mambo yangu, na mambo yangu ni yake pia anajua passwords zangu za kila mahali nami pia na mambo yanaenda kulingana na mipango na malengo yetu.

Kaeni chini wekeni malengo sio kila MTU anakuwa na malengo yake wakati ni ya familia.

Kila la kheri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ujinga wewe tengeneza dream zako, jamaa aki-dead( japo sikuombei) ndugu watavipurusa vyote afu hutajiona mjinga. Mwache mwanaume apambane mwenyewe
labda umshauri ahakikishe anajua doc zipo wapi na zimeandikwa nini?
 
Unafaa sana kuwa mchepuko wangu !!!natania bwana [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 



hahha kweli kabisa mkuu lovebitelol ! ukishaolewa hizo ndo dreams kubwa sana aachane na hizo dreams zake kwasasa! kwasababu ashaolewa haina haja tena! emoji fuata ushauri huu dreams waachie wanaume!
 
ninavyouguaga nikitoa hata mia nikimpa mmh ote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…