Mkuu tatizo nyie wenzetu huwa hamueleweki saa nyingine.
Clueless14: umemshauri vyema pia sana, ingawa naona kama umeingia sana kwenye experience kuliko uhalisia wa alichokieleza, experience ya maisha haina uhusiano wowote na unachohitaji kufanya, ukitumia experience ambazo nyingi zimejaa negativity tu utashindwa kama hao uliowatolea mifano......! Nimegundua kitu kwenye koment yako kwamba unavutiwa sana kuwasikiliza hao wanaojiita motivational/inspirational speakers, hao hiyo ndiyo kazi yao, si vibaya kuwasikiliza lakini ukijisikiliza mwenyewe ni vizuri zaidi.Ummh, upo sahihi dada ila.... biashara zake unajua lolote katika kusimamia? Wewe ni co signer wa lolote ktk biashara zake ili, kesho na kesho kutwa hayupo uweze kuwa msimamizi kwa niaba ya wanenu? Hawa wanaokwambia utulie tu ndo wale wale kaka zao wakifa wanaenda kuwanyang'anya mawifi na shemeji mali zote. To me ningekuwa responsible yes, ila hela nayo save kama hana uhitaji nayo saaaanaa ningeendelea kuisave, kama ana ulazima nayo akwambie ili uende ku withdraw, and ukifisha hiyo amount yako ongea nae akusaidie kufata hizo dreams zako since you help him as well. Stand on your own feet as he stood, zikiwa biashara mbili au tatu zaidi No harm to that unless your name is on his company's papers.
Mnatakiwa mjifunzage kutoka kwenye familia ambazo wababa wanafariki akina mama wanaachiwa songombingo!
Hata kama upendo wa agape, kama huonyeshi interest ya kuendelea kufata plans zako pretty much he wont force u and he will take the money everytime you give him. tatizo la wewe na ndoto "zako" ni wewe mwenyewe. Ni wewe kuamua unaanza then akupe support yake. Hujaamua bado unampa tu hata asipohitaji, watu wanatafuta financial security mjini Wee shangaa shangaa tu na kumpatia capital yako yote meanwhile huelewi anavyo run business yake.
Dah ushauri mzuri Sana Sana .In everything you do, as long as you're happy.....! That's all you need. Kuna matajiri wengi sana duniani hawajawahi kuachieve chochote kwenye maisha yao....!!! But wewe uko happy, achievement kubwa ni kufanya kitu unachokipenda, ukifanya kitu unachokipenda lazima kitakupa furaha.....! Chochote kinachokupa amani na furaha ndicho unachokipenda, your hubby is your happiness!!! Watu wengi huwa hawajui wanahitaji nini kwenye maisha yao, ulicho nacho na unachokifanya ndicho unachohitaji kwa usahihi kabisa! Vingine ni nyongeza tu, kama ni kweli, God bless! Keep such spirit
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akujaze kher nyingi mwanamke wewe,binafsi upo kama mwanamke wangu and she deserves all of my trust in our relationship
thA God thA bubbs!!
Bratan..Huu upendo mbona kama umezidi sana..Naona kama anajari kupitilizaUjuwe tu kuwa ukisimama na wanawake wenzako kumi, upo tofauti nao kwa asilimia kubwa. Ni wanawake wachache sana wanaweza kuwa supportive kwa waume zao kiasi hicho.