Ummh, upo sahihi dada ila.... biashara zake unajua lolote katika kusimamia? Wewe ni co signer wa lolote ktk biashara zake ili, kesho na kesho kutwa hayupo uweze kuwa msimamizi kwa niaba ya wanenu? Hawa wanaokwambia utulie tu ndo wale wale kaka zao wakifa wanaenda kuwanyang'anya mawifi na shemeji mali zote. To me ningekuwa responsible yes, ila hela nayo save kama hana uhitaji nayo saaaanaa ningeendelea kuisave, kama ana ulazima nayo akwambie ili uende ku withdraw, and ukifisha hiyo amount yako ongea nae akusaidie kufata hizo dreams zako since you help him as well. Stand on your own feet as he stood, zikiwa biashara mbili au tatu zaidi No harm to that unless your name is on his company's papers.
Mnatakiwa mjifunzage kutoka kwenye familia ambazo wababa wanafariki akina mama wanaachiwa songombingo!
Hata kama upendo wa agape, kama huonyeshi interest ya kuendelea kufata plans zako pretty much he wont force u and he will take the money everytime you give him. tatizo la wewe na ndoto "zako" ni wewe mwenyewe. Ni wewe kuamua unaanza then akupe support yake. Hujaamua bado unampa tu hata asipohitaji, watu wanatafuta financial security mjini Wee shangaa shangaa tu na kumpatia capital yako yote meanwhile huelewi anavyo run business yake.