Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Dada hongera kwa tabia njema, mshukuru sana MUNGU kwa yote mzidi kupendana na MUNGU atawazidishia zaidi ya hayo .
Kila unachofanya kwa mumeo nikizuri , usisikilize maneno ya watu watakuvurugia kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bibie naona kweli ulivotype u mean it

sent from my iPhone 6
 
Ummh, upo sahihi dada ila.... biashara zake unajua lolote katika kusimamia? Wewe ni co signer wa lolote ktk biashara zake ili, kesho na kesho kutwa hayupo uweze kuwa msimamizi kwa niaba ya wanenu? Hawa wanaokwambia utulie tu ndo wale wale kaka zao wakifa wanaenda kuwanyang'anya mawifi na shemeji mali zote. To me ningekuwa responsible yes, ila hela nayo save kama hana uhitaji nayo saaaanaa ningeendelea kuisave, kama ana ulazima nayo akwambie ili uende ku withdraw, and ukifisha hiyo amount yako ongea nae akusaidie kufata hizo dreams zako since you help him as well. Stand on your own feet as he stood, zikiwa biashara mbili au tatu zaidi No harm to that unless your name is on his company's papers.
Mnatakiwa mjifunzage kutoka kwenye familia ambazo wababa wanafariki akina mama wanaachiwa songombingo!
Hata kama upendo wa agape, kama huonyeshi interest ya kuendelea kufata plans zako pretty much he wont force u and he will take the money everytime you give him. tatizo la wewe na ndoto "zako" ni wewe mwenyewe. Ni wewe kuamua unaanza then akupe support yake. Hujaamua bado unampa tu hata asipohitaji, watu wanatafuta financial security mjini Wee shangaa shangaa tu na kumpatia capital yako yote meanwhile huelewi anavyo run business yake.
 
Hongera sana dada ila kwenye ndoa zetu huku wanawake wanatuza pesa zao wanatumida zetu tu , ila hongera sana dada.
 
In everything you do, as long as you're happy.....! That's all you need. Kuna matajiri wengi sana duniani hawajawahi kuachieve chochote kwenye maisha yao....!!! But wewe uko happy, achievement kubwa ni kufanya kitu unachokipenda, ukifanya kitu unachokipenda lazima kitakupa furaha.....! Chochote kinachokupa amani na furaha ndicho unachokipenda, your hubby is your happiness!!! Watu wengi huwa hawajui wanahitaji nini kwenye maisha yao, ulicho nacho na unachokifanya ndicho unachohitaji kwa usahihi kabisa! Vingine ni nyongeza tu, kama ni kweli, God bless! Keep such spirit

Clueless14: umemshauri vyema pia sana, ingawa naona kama umeingia sana kwenye experience kuliko uhalisia wa alichokieleza, experience ya maisha haina uhusiano wowote na unachohitaji kufanya, ukitumia experience ambazo nyingi zimejaa negativity tu utashindwa kama hao uliowatolea mifano......! Nimegundua kitu kwenye koment yako kwamba unavutiwa sana kuwasikiliza hao wanaojiita motivational/inspirational speakers, hao hiyo ndiyo kazi yao, si vibaya kuwasikiliza lakini ukijisikiliza mwenyewe ni vizuri zaidi.

Kwamfano umemshauri awe signatory au awe na umiliki, real? Sio vibaya hata kidogo lakini huoni kuwa upendo utakuwa umepungua baina yao na kumfanya mumewe aone hamuamini tena? Huo ni mwanzo mzuri wa migogoro kwenye familia nyingi za kibongo.....!!! Huyo dada hana ndoto za kumiliki mali wala kuwa mwanamke wa shoka au mwanamke mwenye nguvu......, according to alichokiandika, ndoto zake ni kuishi kwa furaha na familia yake, na kumuona mumewe akiwa na furaha basi. Kinachompa furaha kwenye maisha yake ni kumpenda mumewe.......lazima utambue kuwa tutafautiana mahitaji yetu kwenye maisha, ispokuwa hawa wendawazimu motivational speakers wana destroy mind zenu na kuondoa upendo ili muishi kwa mawazo yao wao......!!!! Huo ni utumwa pia.......babu na bibi zetu hawakuishi kwa kutegemea kuwa inspired na watu ndo maana wengi wao waliishi maisha yenye furaha na bibi aliyemuuliza mumewe mbona similiki chochote, coz alijua alichonacho mumuwe ni chake pia.......!!!! Be blessed!
 
Motivators teach you how to be selfish not how to succeed, try their ways you'l end up being a selfish, kwamfano kuna watu wamesema mumwe akifa, ndugu watachukua mali na atabaki kuhangaika na familia, this kind of fallacy can only be implanted by these people, hayo mambo yapo kweli but how big????? Na je, akifa yeye nani ataendelea kumsapot mumewe na familia na watoto? We should learn to think on our own ways......!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoto zako ni za mumeo na za mumeo ni zako pia...

Isipokuwa jambo la muhimu unaweza nawe ukasimamisha biashara au hata shughuli nyingine yoyote utayoisimamia wewe ili iwe backup kwa ajili ya familia yenu...
 
Mungu akujaze kher nyingi mwanamke wewe,binafsi upo kama mwanamke wangu and she deserves all of my trust in our relationship

thA God thA bubbs!!
 
In everything you do, as long as you're happy.....! That's all you need. Kuna matajiri wengi sana duniani hawajawahi kuachieve chochote kwenye maisha yao....!!! But wewe uko happy, achievement kubwa ni kufanya kitu unachokipenda, ukifanya kitu unachokipenda lazima kitakupa furaha.....! Chochote kinachokupa amani na furaha ndicho unachokipenda, your hubby is your happiness!!! Watu wengi huwa hawajui wanahitaji nini kwenye maisha yao, ulicho nacho na unachokifanya ndicho unachohitaji kwa usahihi kabisa! Vingine ni nyongeza tu, kama ni kweli, God bless! Keep such spirit

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah ushauri mzuri Sana Sana .
Hakika huyu dada ni wa kupongezwa sana na kumuombea na familia yake wazidi kufanikiwa na upendo uzidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa sija log in na nilikuwa sina mpango wa kuingia JF kwa siku ya leo, lakini nimeshangaa hii post imeingia direct kama comment za WhatsApp jambo ambalo limenishangaza maana huwa sipati post nikiwa sija log in.

Wewe ni mwanamke wa aina yake na ni adimu sana kwa wakati huu, una roho nzuri sana hakika utafanikiwa sana bila hata wewe kujua umefanikiwa vipi, hicho kitendo kinadhihirisha ni namna gani unavyomheshimu mumeo kama inavyotakiwa.

Hapo ulipo huna haja ya kusema bado hujafanikiwa kufikia ndoto zako, ona sasa mumeo kapata kiwanja ambacho mkikinunua mnaweza kufanya jambo kubwa na zuri la kuwaingizia pesa saafi tu.

Kila la kheri katika mafanikio yako, kwa hakika nimepata somo tosha kutoka kwako na kwa mumeo hii ni changamoto tosha kwetu sisi wengine.
 
Hii story ukija itoa huko kwenye masaluni, lazma utapotoswa, kiukweli wewe ni kiumbe adimu aliyebakia.
 
kwanza nikupongeze kwa kujua wajibu wako. Ila jitahidi sana kuepuka kujiona kuwa hizo ni zake na zile ni za mumeo badala yake ona kama akaunti yako ni yenu na biashara yake ni yenu pia. Usiwaze tena kuhusu utofauti. Ndoa yenu itadumu sana.

Kuhusu swala hilo kutokea kwenye ndoa nyingine kimsingi ilipaswa kuwa hivyo.

Na usioneshe wasiwasi kwenye hilo. Mungu akubariki sana kama unayoyasema ni kweli.

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Kwa vile umeuliza Kama hicho unachofanya ni wewe tu au kuna wanandoa wengine wanfanya hivyo, jibu lake ni hakuna,
Ila cha msingi, wala usijutie wala kuwaza kwa nn unafanya hivyo, uzuri mmeo anatumia pesa vzr kwa manufaa ya familia yenu, hiyo haina shida, mtakuja fikia point vitu vyote muhimu mmeshafanya kwenye familia yeni, hivyo hata wew itakupa muda wa kutimiza ndoto zako,
Jitahidi kumshirikisha mipango yako na ndoto zako ili mpange kwa pamoja.
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujuwe tu kuwa ukisimama na wanawake wenzako kumi, upo tofauti nao kwa asilimia kubwa. Ni wanawake wachache sana wanaweza kuwa supportive kwa waume zao kiasi hicho.
Bratan..Huu upendo mbona kama umezidi sana..Naona kama anajari kupitiliza
 
Back
Top Bottom