Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Acha ujinga wewe tengeneza dream zako, jamaa aki-dead( japo sikuombei) ndugu watavipurusa vyote afu hutajiona mjinga. Mwache mwanaume apambane mwenyewe
Gwangala utalijua tuuhh...!
 
Haya yote hupewa mtu na Mungu..!

Mawazo yenu ya ajabu hayawezi kumpata huyu mdad kwanza yananzia wapi???? Msituone wanaume km watu wakatili ukiona mwanaume anakufanyia unyama jitafakari sana..!

Aliwazalo mjinga ndilo litakalo mpata.
 
Acha ujinga wewe tengeneza dream zako, jamaa aki-dead( japo sikuombei) ndugu watavipurusa vyote afu hutajiona mjinga. Mwache mwanaume apambane mwenyewe
Na Mungu alivyo muweza na wa ajabu kamwe hawezi kumuacha mtu mwenye nia ya dhati na uaminifu kama huyu mama aibike milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ulikereka kwenye uzi wako"WANAUME MNAKERA SANA KUPENDA VYA BURE"
sasa umekuja tena kusema unampa,maana yake unazidi kumfanya apende kupewa"vya bure"

Habeeb Marhan
 
Wewe ulikereka kwenye uzi wako"WANAUME MNAKERA SANA KUPENDA VYA BURE"
sasa umekuja tena kusema unampa,maana yake unazidi kumfanya apende kupewa"vya bure"

Habeeb Marhan
Watu mnajua kutafiti? Kumbe alishakereka? Lol

Jesus is my saviour and a friend
 
Usimfundishe nwenzio tabia mbaya. Anavyofanya ndivyo inatakiwa kwa wana ndoa

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Sio wote, mi hiyo sifanyi kabisa.
Tena nakushauri uache mara moja!
 
Eti mi naona wajinga ndio waliwao!
 
We utakuwa ndio mme wake
 
Mi namuangalia tu!
 
Aisee. Hizi thread burudani sana. Dada uko vizuri sana na endelea na moyo wako wa Kutokuwa mbinafsi. Maisha katika ndoa ni yenu wote, dreams zako zisiharibu Mipango ya familia. Kama hela inajenga familia na wewe una Amani, shida iko wapi? We mwambie tu dreams zako na kulingana na Mipango yenu zitatamia tu kadri muda unavyoenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mme kapata mke, na mke pia kapata mme so kikubwa mkimbie pepo la ubnafsi mtafika mbali
 
Endelea kutunza penzi lako na mumeo dada..uzuri unapompa anaitendea kazi na uaminifu upo baina yenu.,
Incase akimisbehave ndo mtu utaacha kutoa au utatoa kidogo
 
Mi nakushauri
Kwa kuwa umeolewa na nyote mmekuwa wamoja,ni muhimu kumshirikisha mumeo hizo ndoto zako mkajadili kwa pamoja,akusaidie kwa mawazo na namna mbalimbali kwani yote ni kwaajiri yenu na si yeye au wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…