bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Gwangala utalijua tuuhh...!Acha ujinga wewe tengeneza dream zako, jamaa aki-dead( japo sikuombei) ndugu watavipurusa vyote afu hutajiona mjinga. Mwache mwanaume apambane mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gwangala utalijua tuuhh...!Acha ujinga wewe tengeneza dream zako, jamaa aki-dead( japo sikuombei) ndugu watavipurusa vyote afu hutajiona mjinga. Mwache mwanaume apambane mwenyewe
Haya yote hupewa mtu na Mungu..!Ni mbaya sana kumuamini binadamu mwenzio kiasi asilimia zote nimecheka sana hivi kweli unakuwa Na confidence kuwa mwanaume hakusaliti kuna mwingine anachepuka ila akirudi kwako huwezi kugundua hatamichepuko anaipa time ya mawasiliano kwamba kuanzia mida Fulani usinitafute nitakutafuta wewe pia mpaka uanze kunitafuta mpaka nikushtue Mimi akija kwako utasema malaika
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Mungu alivyo muweza na wa ajabu kamwe hawezi kumuacha mtu mwenye nia ya dhati na uaminifu kama huyu mama aibike milele.Acha ujinga wewe tengeneza dream zako, jamaa aki-dead( japo sikuombei) ndugu watavipurusa vyote afu hutajiona mjinga. Mwache mwanaume apambane mwenyewe
Kusaidiana maisha ndo vya bure...? 🙁
See you at PM
Watu mnajua kutafiti? Kumbe alishakereka? LolWewe ulikereka kwenye uzi wako"WANAUME MNAKERA SANA KUPENDA VYA BURE"
sasa umekuja tena kusema unampa,maana yake unazidi kumfanya apende kupewa"vya bure"
Habeeb Marhan
Watu wabayaaaaaaaaaaaWewe ulikereka kwenye uzi wako"WANAUME MNAKERA SANA KUPENDA VYA BURE"
sasa umekuja tena kusema unampa,maana yake unazidi kumfanya apende kupewa"vya bure"
Habeeb Marhan
Usimfundishe nwenzio tabia mbaya. Anavyofanya ndivyo inatakiwa kwa wana ndoaKila mwanaume atakuona unachokifanya kipo sawa ila kiukweli kuna kiasi cha kumsaidia mwanaume na sio kwa kiwango kama hicho chako.
Punguza roho nzuri ambapo hatakama utakuwa unampa hakikisha wewe kama wewe una akiba yako ya kutosha na sio ya kusema umpe yote halafu usubiri mwezi ugeuke uanze kuweka upya kuna leo na kesho mumy emoj.
Wanaume sio viumbe wa kuwaamini kwa 100%.
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Eti mi naona wajinga ndio waliwao!Ndoa ni yenu wawili lakini kila mmoja anatimiza malengo yake kivyake cha kushangaza zaidi wewe upo busy kumsuport mwenzio mbona yeye hakusupport?hakuna hata sehemu moja umesema yeye naye alitoa pesa akakupa ili ufanye kitu Fulani..ni wewe tu ndio mtoaji..kweli huu ndio upendo wa mshumaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pambafu sana , Nakuhakikishia utakachoshauliwa Humu kinaenbdela kubadilisha furaha ya Maisha yako kuanzia Muda huu.. Unaishi Vizuri na Mume wako una mpenda na mnashirikiana na unayafanya hayo bila kushinikishinikizwa wala ndugu wa mume au ndugu wa kwenu hawawasumbui leo hii Unakuja kwenye Kundi ambalo limejaa watu waliojichokea na Maisha ukitegemea utapata ushauri Mzuri..
Nakuhakikishia kati ya wanawake 10 humu wengi watakuona hayawani na kuanzia utakapoa tekeleza ushauri wao basi jua ndio Mwanzo wa kuikosa Furaha ya ndoa yako.
Humu usilete Furaha ya Ndoa leta Matatzio ya ndoa ambayo unahitaji Msaada.
Hapa ndipo nimethibitisha kuwa Mwanamke Mjinga huivunja ndoa Yake kwa Mikono yake Mwenyewe.
Narudia na siyo Lazima uchukue au uyafanyie chochote matamshi yangu ila Trust Me., as From today unaenda Kuharibu Ndoa yako....
Akili Unazo!
Hebu acha kwa muda kumpa hela tuoneMpendwa sijui umemaanisha nini kusema nimeoa but tumeoana.Upendo unetuleta pamoja na kila saa kila wakati nafeel upendo wa mume wangu kwangu.Kwa hakika ni mume haswaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
We mkeo anakuhongaga!Wengi wanao comment ujinga ni wanawake wenzako tena ms bachelor wabinafsi,so achana nao
Mi namuangalia tu!Ni dhambi kubwa mwanamke kuchukua majukumu ya kulisha familia huku mumewe akiwa na uwezo wa kutafuta,kisa cha upendo kisiondoe majukumu ya baba kwenye nyumba yake,akiwa na shida mpe msaidie ila usizizike ndoto zako kisa kutimiza hitaji la mumeo ili abaki na furaha
Sent using Jamii Forums mobile app