Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie mtanikuta barabarani nimegongwa na gari kwa kuwehuka kabisa.ninavyouguaga nikitoa hata mia nikimpa mmh ote
ha ha haMie mtanikuta barabarani nimegongwa na gari kwa kuwehuka kabisa.
Heaven Sent ya kweli haya?Upo vzr sana mama yangu! waweza kuniambia kabila lako? Nina imani ww sio mnyaki, maana hao dada zangu nawajua mwenyewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kama ana amani kabisa na furaha tele hiyo hofu imetokea wapi? Hana amani ndio maana kajiulizaaa hadi kaja kutuuliza na sisi.
Co bure kwakwel, alaf yuko comfortable kueleza jinc gan karogwa,anahitaj msaada kwakwel plus maombi.c akil yake ya kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpendwa Is it a crime kushare pamoja vile mimi nilivyo??? na kupata wenzangu tunafanana na tukashare mambo mawili matatu ya kujengana humu kwa pamoja?.my dear likes hazinisaidii chochote haziniongezei wala kunipunguzia chochote.naliona it's ok.na pale sikusema mnisaidie nibadilike nope coz naenjoy vile nilivyo.nimelileta kwa wanandoa wenzangu nione wao wanalichukuliaje hili swala langu. Wewe MWANANDOA MPENDWA?. KAMA SIO MWANANDOA HUTONIELEWA.na mie nimemuuliza amelileta la nn kma sio kutaka likes huku! km anaona fair hakukuwa na haja kbs kuleta huku
Umeoa/umeolewa mpendwa?Co bure kwakwel, alaf yuko comfortable kueleza jinc gan karogwa,anahitaj msaada kwakwel plus maombi.c akil yake ya kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpendwa Is it a crime kushare pamoja vile mimi nilivyo??? na kupata wenzangu tunafanana na tukashare mambo mawili matatu ya kujengana humu kwa pamoja?.my dear likes hazinisaidii chochote haziniongezei wala kunipunguzia chochote.naliona it's ok.na pale sikusema mnisaidie nibadilike nope coz naenjoy vile nilivyo.nimelileta kwa wanandoa wenzangu nione wao wanalichukuliaje hili swala langu. LEE WANANDOA MPENDWA KAMA SIO MWANANDOA HUTONIELEWA.
Sent using Jamii Forums mobile app