Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Haya sasa.... Niliwaambia wapo,.. Hongera sana mke mwema.

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Umebarikiwa wewe ni sio mwanamke tu bali ni mke.
 
Unajua kutetea nakuifanya upya ndoa yako.wewe niwatofauti lakini usijali kwani ninyi ni mwili mmoja ndoto zako nizake na zake ni nizako pia. Hakika wewe niwapekee kama nimapenzi ya mungu utatimiza tu ndoto zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo emoj uko unafanya yale Mwenyezi Mungu aliyowapa wanandoa waishi kwa upendo na kusaidiana. Lakn naliona tatizo lako ukilikuza litaleta chanzo cha matatizo. Kama una ndoto yako mshirikishe mmeo then mtashauriana na sio kuanza kufikiria vitu vya umimi labda kama unaona anaweza kungeuka. Nakuombeni muishi kwa kushirikishana mwambie nina wazo hili na hill nataka nifanye hivi he will support you. Lakini ukianza mimi nifanye kimya kimya sio dhana ya ndoa yenye maelewano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kama ana amani kabisa na furaha tele hiyo hofu imetokea wapi? Hana amani ndio maana kajiulizaaa hadi kaja kutuuliza na sisi.


na mie nimemuuliza amelileta la nn kma sio kutaka likes huku! km anaona fair hakukuwa na haja kbs kuleta huku
 
na mie nimemuuliza amelileta la nn kma sio kutaka likes huku! km anaona fair hakukuwa na haja kbs kuleta huku
Mpendwa Is it a crime kushare pamoja vile mimi nilivyo??? na kupata wenzangu tunafanana na tukashare mambo mawili matatu ya kujengana humu kwa pamoja?.my dear likes hazinisaidii chochote haziniongezei wala kunipunguzia chochote.naliona it's ok.na pale sikusema mnisaidie nibadilike nope coz naenjoy vile nilivyo.nimelileta kwa wanandoa wenzangu nione wao wanalichukuliaje hili swala langu. Wewe MWANANDOA MPENDWA?. KAMA SIO MWANANDOA HUTONIELEWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi namm nitapata species kama yako, mungu nijalie mke mwenye upeo wa mbali mfano wa huyu, kama una Mdogo wako nakuomba niunganishe naye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpendwa Is it a crime kushare pamoja vile mimi nilivyo??? na kupata wenzangu tunafanana na tukashare mambo mawili matatu ya kujengana humu kwa pamoja?.my dear likes hazinisaidii chochote haziniongezei wala kunipunguzia chochote.naliona it's ok.na pale sikusema mnisaidie nibadilike nope coz naenjoy vile nilivyo.nimelileta kwa wanandoa wenzangu nione wao wanalichukuliaje hili swala langu. LEE WANANDOA MPENDWA KAMA SIO MWANANDOA HUTONIELEWA.

Sent using Jamii Forums mobile app


hahhaa haya mama kila la heri !
 
Back
Top Bottom