Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

duh we nawe tukuombee tu! hebu badilika basi jaman! kha!khaaa babu akitutoka huon km utateseka zaid kwann unawapa hao hela na ww huna kibarua my dear!khaa kweli kila mtu analevels za utu! nakugawa leo hii hii Neybright njoo huku
Nilichokiona kwa haraka haraka Doris pia anahitaji maombi maana sio kwa upendo huo wa mshumaa [emoji26][emoji26]
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] ukininawa wewe ntaishije

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] dahhhh Upendo Wa mshumaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] ukininawa wewe ntaishije

Sent using Jamii Forums mobile app

hebu nikuulize? mzaz mwenzako akikuomba muyamalize utamjibuje! nahis km bad unampenda mzaz mwenako!huwa hukumbuki alikulaza sehem mbovu kwa ajili ya upendo wako kwake na bado akakutelekeza? hebu amka bas !sio lazioma iajiriwe lakini hii ya kukopa nimpe wifi nakushangaa mwanamke mwenzangu! kha!.. naomba uamke

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
 
That's Love... A really Love ina happen kwa wana ndoa wachache sana because these days A really love is a problem.
Hongera kwa kuwa na mapenzi ya kweli
 
Kwa kua umamwamini basi endelea hivo na mwisho utafanikiwa wewe na yeye atafanikiwa utakua umepitiliza lengo. Mke km wewe hata shetani hampendi kabisa, kwani anafanya ndoa iwe na amani sana.
 
hebu nikuulize? mzaz mwenzako akikuomba muyamalize utamjibuje! nahis km bad unampenda mzaz mwenako!huwa hukumbuki alikulaza sehem mbovu kwa ajili ya upendo wako kwake na bado akakutelekeza? hebu amka bas !sio lazioma iajiriwe lakini hii ya kukopa nimpe wifi nakushangaa mwanamke mwenzangu! kha!.. naomba uamke

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
Yeah kuna siku aliniambia tuzae tena nilikataa Na siwez Jamani Hapana nimeteseka Mimi ukimpeleka mtoto kwao ukifika wanakuangalia wewe asubuhi mpaka jioni mama mkwe anapiga kabisa anaitaji ela ,yaani mpaka sasaivi nikiona simu zao sipokei maana sinaela babu namtegemea anaumwa imebid niwachunie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah kuna siku aliniambia tuzae tena nilikataa Na siwez Jamani Hapana nimeteseka Mimi ukimpeleka mtoto kwao ukifika wanakuangalia wewe asubuhi mpaka jioni mama mkwe anapiga kabisa anaitaji ela ,yaani mpaka sasaivi nikiona simu zao sipokei maana sinaela babu namtegemea anaumwa imebid niwachunie

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]

mie nakuhis km unahitaj councelling Doris Gabriel !haupo sawa !unasemaje kwa hilo
 
Ujuwe tu kuwa ukisimama na wanawake wenzako kumi, upo tofauti nao kwa asilimia kubwa. Ni wanawake wachache sana wanaweza kuwa supportive kwa waume zao kiasi hicho.
mario waliojaa mji huu na wanalelewa na wanawake, unasema wanawake wa hivyo wako wachache? acha hizo wewe
 
Back
Top Bottom