Hujapenda weweAhahahaaaaaa uwiii mbavu zangu mie,
Naomba uniache mwajuma huo ushauri mpe MBITIYAZA
Siwezi fanya huo uzezeta wooiiiii
Eti nampea nampea bongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujapenda weweAhahahaaaaaa uwiii mbavu zangu mie,
Naomba uniache mwajuma huo ushauri mpe MBITIYAZA
Siwezi fanya huo uzezeta wooiiiii
Eti nampea nampea bongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pole dada yangu.....Inapobidi kutoa pesa kwa ajili ya familia ni vizuri kama unayoumenielewa kabisa wala usihofu, nasema mie nikitoa hiyo hela ka bi dada napata na kaugonjwa ka kuharisha kwa siku kadhaa, nauliza ni mawazo yanazidi ama?
teh teh nakumbuka nilishasikia mtu mwingine anafanana na mimi kwenye hako kaugonjwa.
Wapenda vya bure[emoji3]Mhm specie yenu hapa duniani inakaribia kutoweka, hebu fanya mpango uniunganishe na mdogo wako
Yes or No
Ahahahaaaaaa uwiii mbavu zangu mie,
Naomba uniache mwajuma huo ushauri mpe MBITIYAZA
Siwezi fanya huo uzezeta wooiiiii
Eti nampea nampea bongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu kama wewe hufai kuchangia kwenye uzi kama huu.Acha ujinga wewe tengeneza dream zako, jamaa aki-dead( japo sikuombei) ndugu watavipurusa vyote afu hutajiona mjinga. Mwache mwanaume apambane mwenyewe
Duuh na kweli inawezekana
Haha me naomba tu niwe ndugu msomaji leo, maana naandika gazeti hapa afu nafuta teh. Mbiti uwe na moyo wa kupondeka mpendwa.
ushakuwa chuma ulete maskin sahau maendeleo hapo😉
mimi nilihis nimecheka mwenyewe. Kitu kingine nimeshindwa kumuelewa mtoa mada ni kwamba kama ana amani nini kimemleta kuja kusema huku.
nina wasi wasi na IQ yake maana kumpa mwanaume hela bila kuona faida hakujawahi muacha mtu salama. mimi siwezi niseme ukweli lol
Wewe mpe hela, mpe hela, mpe mapenzi na usisahau kumpa muda wa kwenda kwa mke mdogo aliyemjengea nyumba.
Matango pori club [emoji6]Hii ni club gani tena?
Chiller than a Polar bear, with that modern Fred Astaire savoir-faire that you can't dare compare...chill
Hahaha, yanahusika kwenye diet hayo.Matango pori club [emoji6]
sijaona furaha hapo kabisa, mie uchaga utaniuaaaa, naweza nisipate usingizi wiki nzima jaman lol,