Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

umenielewa kabisa wala usihofu, nasema mie nikitoa hiyo hela ka bi dada napata na kaugonjwa ka kuharisha kwa siku kadhaa, nauliza ni mawazo yanazidi ama?

teh teh nakumbuka nilishasikia mtu mwingine anafanana na mimi kwenye hako kaugonjwa.
pole dada yangu.....Inapobidi kutoa pesa kwa ajili ya familia ni vizuri kama unayo
 
Ahahahaaaaaa uwiii mbavu zangu mie,
Naomba uniache mwajuma huo ushauri mpe MBITIYAZA
Siwezi fanya huo uzezeta wooiiiii
Eti nampea nampea bongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

The best way to control a woman make sure there are only ' 5 digits in her account or less' despite of working hard kwa kwa kwaa
 
Hata usingekuja kuomba usahuri huku unachofanya upo sahihi......
 
Kamam Unachokisema Ni Kweli Bas My Dady Of Heaven Bless U ,, Yan Wanawake Type Yako Sahiv Ni Wa Kutafuta Na Tochi Wew Kama Ni Mbegu Basi Si Ya Kupika Ila Ni Ya Kupanda Ili Iote Hongera Pia Mweleze Mipango Yako Nae Siku Atakupga Campan C Unaona Yeye Yake Anakwambia So Mshirikishe Na Mipango Yako Ni Yake Na Yake Ni Yako ,,, Naomba Mungu My Wife Awe Na Tabia Kama Ulizo Type Hapa Na Zaidi,,
 
mimi nilihis nimecheka mwenyewe. Kitu kingine nimeshindwa kumuelewa mtoa mada ni kwamba kama ana amani nini kimemleta kuja kusema huku.

nina wasi wasi na IQ yake maana kumpa mwanaume hela bila kuona faida hakujawahi muacha mtu salama. mimi siwezi niseme ukweli lol


umeona eh mamy!yaan asbh nilichekaaa nikasema ee Yesu wangu! kumbe bas sie wazima aisee! amesema yeye amaemua kushare kuuliza wenzake!si umeona vitonga walivyompa hongrai!ila kuna mwanaume mmoja tu humu kamweleza kinagaubagga!huyo nimemwelewa aisee! hahahah eti una wasiwasi na IQ! hahahahahah
 
Back
Top Bottom