MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Chiller than a Polar bear, with that modern Fred Astaire savoir-faire that you can't dare compare...
mkuu mie siitwi Fred!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chiller than a Polar bear, with that modern Fred Astaire savoir-faire that you can't dare compare...
Jomoniii, wote si tunatafuta furaha; ndo furaha yake hiyohahha nidhamu ya woga! haha mshauri kitu mwanamke mwenzio
Sijasema unaitwa Fred, naona hatujaelewana.mkuu mie siitwi Fred!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha, yanahusika kwenye diet hayo.
Hakitupwi kitu club over here, hata sumu tunageuza dawa.
Habadiliki mtu hapa, kwanza anawashangaa tuuhahahahahhahah mnambadilisha mwenzenu jaman!
Sijasema unaitwa Fred, naona hatujaelewana.
Halafu hata kama ungekuwa unaitwa Fred, kutajana majina hapa bila ridhaa ni utovu wa nidhamu na staha,na mimi kwetu nimelelewa kuheshimiana na watu.
Jomoniii, wote si tunatafuta furaha; ndo furaha yake hiyo
Kumradhi.mie lugha siijui! nikajua unaniita fred!anywsy yamepita
Haha maisha ndo hayo, mnaota pamojateh! raha sana ! yaan yeye ngv zake anataka mume awe na amani! simu ikapotea mwanamwetu kakimbia kaenda mjini kununua!hehehhe! amfurahishe mume
Haha maisha ndo hayo, mnaota pamoja
Haha cheka tu mpenzi wangu, ndoa raha sana mkiwa mnaota pamojahahahhaah Heaven Sent unanichosha kwakucheka mie hapa! hahahaha mwee tuanze kuota tu pamoja jaman
Kumradhi.
Sasa wewe unatoa hela,unapewa hela au mnapeana hela na mwenyewe mwenyewe?
Haha cheka tu mpenzi wangu, ndoa raha sana mkiwa mnaota pamoja
Aisee..kuna wanaume wa hivyo tanzania hii?
Haha sisi tumeshazinduka, hatuoti tenahope na wewe mama mchungaji unaota pamoja na baba mchungaji
Karibu Moshi tukufundehahahaha nilikua poyoyo km huyu tu sasa hv nimebadilika had najiogopa mkuu!nataka nifikie level ya mwanamke wa kimachame
Aisee..kuna wanaume wa hivyo tanzania hii?