Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

mkuu mie siitwi Fred!
Sijasema unaitwa Fred, naona hatujaelewana.

Halafu hata kama ungekuwa unaitwa Fred, kutajana majina hapa bila ridhaa ni utovu wa nidhamu na staha,na mimi kwetu nimelelewa kuheshimiana na watu.
 
Ugumu wangu wa kupongeza watu umelainishwa na wewe,nakupongeza sana kwa matendo yako wewe ni mwanamke ambae mind yako iko matured tofauti na wenzako hata hela ya sabuni anamsubiria mwanaume atoe wakati huo huo yeye ana uwezo.Mwanamke wa hivi hata awe mzuri kuliko wanawake wote duniani namuona zero
 
Back
Top Bottom