Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Wanawake wa kimachame ni shida, usiombe wakufunde. Wanatuhumiwa kwa kuwadedisha waume zao

nna rafiki angu mmachame! alikua ana roho mby kweli chuo! hakuwa na moyo wa kupondka kwa boifrnd wake nikawa

namshangaa sana why ana roho ngumu vile! eti mpenzi wake anamuendesha alafu mbele yetu hahaa ndo akaniambia ndo

walivyo! aliwah nambia mamake mdg alimuua live mumewe alimtegeshea majambawazi ile anaingia getini baba akakutana

na shabaaaaa! unajua nilimuogopa! hahahaa mie siwawezi! hahahaa usiwe na roho hyo lol!
 
Dear emoji you are doing just fine,please naomba niwe kaserengeti boy kako huenda hili joto la Dar nikaliepuka!!
 
Naamini kabisa kuna wanawake wengine hawaja furahishwa na jinsi ulivyo,

Wanawake wengi nowday wamebaki majambazi na vibaka..

Ukisahau tu waleti wanalala nayo mbele..
 
Ungekuwa hajaolewa ningekuwowa leo leo 😀😛😀
 
Ni mbaya sana kumuamini binadamu mwenzio kiasi asilimia zote nimecheka sana hivi kweli unakuwa Na confidence kuwa mwanaume hakusaliti kuna mwingine anachepuka ila akirudi kwako huwezi kugundua hatamichepuko anaipa time ya mawasiliano kwamba kuanzia mida Fulani usinitafute nitakutafuta wewe pia mpaka uanze kunitafuta mpaka nikushtue Mimi akija kwako utasema malaika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
teh! raha sana ! yaan yeye ngv zake anataka mume awe na amani! simu ikapotea mwanamwetu kakimbia kaenda mjini kununua!hehehhe! amfurahishe mume
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
nna rafiki angu mmachame! alikua ana roho mby kweli chuo! hakuwa na moyo wa kupondka kwa boifrnd wake nikawa

namshangaa sana why ana roho ngumu vile! eti mpenzi wake anamuendesha alafu mbele yetu hahaa ndo akaniambia ndo

walivyo! aliwah nambia mamake mdg alimuua live mumewe alimtegeshea majambawazi ile anaingia getini baba akakutana

na shabaaaaa! unajua nilimuogopa! hahahaa mie siwawezi! hahahaa usiwe na roho hyo lol!
Duh huyo kiboko. Hakuna sababu ya kumuua mtu, kwani umelazimishwa kuishi nae? Teh..sio mmachame mie, halafu sio pure mchaga nimechanganya na mnyamwezi
 
Back
Top Bottom