MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Karibu Moshi tukufunde
ahhha afu nishasahau !hahaha nifundwe tu kwakweli! tired
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu Moshi tukufunde
Bahari ipi? Mindu? [emoji23] [emoji23]si ndo maana mie napataga hasira shoo! september njoo twende kuoga baharini shoo!
Haha sisi tumeshazinduka, hatuoti tena
Wanawake wa kimachame ni shida, usiombe wakufunde. Wanatuhumiwa kwa kuwadedisha waume zaoahhha afu nishasahau !hahaha nifundwe tu kwakweli! tired
Bahari ipi? Mindu? [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe ndio mwanamke wa pekee, kati ya wanawake 10000000 wewe upo pekee yako.. Hawa wengine hela zao wanawaza kuvaa, kuweka mawigi.. Wanaitwa wanawake kwa kua wamebeba papuchi tuu..
pesa unatoa?Haha sisi mbona tuna mioyo ya kupondeka sasa
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Dah! Nimekupenda sana weye! Mumeo ana bahati sana ya kuwa na mke kama wewe, ila ongea naye umwambie nia yako ya kufungua biashara yako pia.
Wanawake wa kimachame ni shida, usiombe wakufunde. Wanatuhumiwa kwa kuwadedisha waume zao
hebu uwe na moyo Wa kupondeka.Ahahahaaaaaa uwiii mbavu zangu mie,
Naomba uniache mwajuma huo ushauri mpe MBITIYAZA
Siwezi fanya huo uzezeta wooiiiii
Eti nampea nampea bongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]teh! raha sana ! yaan yeye ngv zake anataka mume awe na amani! simu ikapotea mwanamwetu kakimbia kaenda mjini kununua!hehehhe! amfurahishe mume
Duh huyo kiboko. Hakuna sababu ya kumuua mtu, kwani umelazimishwa kuishi nae? Teh..sio mmachame mie, halafu sio pure mchaga nimechanganya na mnyamwezinna rafiki angu mmachame! alikua ana roho mby kweli chuo! hakuwa na moyo wa kupondka kwa boifrnd wake nikawa
namshangaa sana why ana roho ngumu vile! eti mpenzi wake anamuendesha alafu mbele yetu hahaa ndo akaniambia ndo
walivyo! aliwah nambia mamake mdg alimuua live mumewe alimtegeshea majambawazi ile anaingia getini baba akakutana
na shabaaaaa! unajua nilimuogopa! hahahaa mie siwawezi! hahahaa usiwe na roho hyo lol!