Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,026
hahha dina wewe si ukazane sasa uende nae mbinguni !lol
[emoji28] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahha dina wewe si ukazane sasa uende nae mbinguni !lol
hakuna mwanaume hajafurahia hili kwa kweli ila mimi bado naona gizaKwa vile umeuliza Kama hicho unachofanya ni wewe tu au kuna wanandoa wengine wanfanya hivyo, jibu lake ni hakuna,
Ila cha msingi, wala usijutie wala kuwaza kwa nn unafanya hivyo, uzuri mmeo anatumia pesa vzr kwa manufaa ya familia yenu, hiyo haina shida, mtakuja fikia point vitu vyote muhimu mmeshafanya kwenye familia yeni, hivyo hata wew itakupa muda wa kutimiza ndoto zako,
Jitahidi kumshirikisha mipango yako na ndoto zako ili mpange kwa pamoja.
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
haswaa na sidhani kama anajielewaBratan..Huu upendo mbona kama umezidi sana..Naona kama anajari kupitiliza
napenda signature yako[emoji28] [emoji23] [emoji23]
karibu ma dear, hii mada mbona kama mimi naona giza? teh teh
mimi maruwe ruwe yangu yamezidi, yamekuwa giza. bora hata unaona kidogo weyeHaha, mbona hauko mwenyewe!
Ni maruwe ruwe haswa, nashindwa kuamini huu msaada uliopitiliza wa mtoa mada.
mimi maruwe ruwe yangu yamezidi, yamekuwa giza. bora hata unaona kidogo weye
teh teh
haswaaa, nimetafakari nikashindwa kuelewa. mimi ingekuwa too way trafic ningeelewaHahaha, naona Inabidi tumuelewe tu hivyo hivyo. Lakini hili haliingii akilini kabisa..
haswaaa, nimetafakari nikashindwa kuelewa. mimi ingekuwa too way trafic ningeelewa
lol
salama kabisa mama.
kamoyo kangu kadogo siwezi lolNa ndio inavyotakiwa iwe, two way traffic.
Lakini bidada hapa naona kazidisha.
hahha dina wewe si ukazane sasa uende nae mbinguni !lol
yaan tusaidiane tu lolHauko mwenyewe asee!