Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

Kwa vile umeuliza Kama hicho unachofanya ni wewe tu au kuna wanandoa wengine wanfanya hivyo, jibu lake ni hakuna,
Ila cha msingi, wala usijutie wala kuwaza kwa nn unafanya hivyo, uzuri mmeo anatumia pesa vzr kwa manufaa ya familia yenu, hiyo haina shida, mtakuja fikia point vitu vyote muhimu mmeshafanya kwenye familia yeni, hivyo hata wew itakupa muda wa kutimiza ndoto zako,
Jitahidi kumshirikisha mipango yako na ndoto zako ili mpange kwa pamoja.
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna mwanaume hajafurahia hili kwa kweli ila mimi bado naona giza
teh teh
 
Back
Top Bottom