Sipendi kuonekana mbaya kwenye maisha

Sipendi kuonekana mbaya kwenye maisha

Status
Not open for further replies.
Toka naanza maisha nimemaliza chuo nashukuru nilikuwa nimepanga chumba master jiko nina kila kitu yani full. Wana wakaanza kutaka kugeuza geto langu wawe wanaleta videmu vyao. Msimamo wangu ulikuwa straight kama rula. Nyumba yangu sio gesti na siwez moa mtu funguo akakalale na mwanamke kitanda ninacholala mimi.
Mimi mwenyewe nilikuwa naoaheshimu na mdada mmoja tu ndiye nilikuwa namruhusu kuja pale wengne huko huko tunamalizana.
My point mkuu weka msimamo ucommunalism sometimes unaturudisha nyuma.
 
Ushauri hama hapo ulipopanga Kama anashindwa kujiongeza kuchangia gharama za maisha
 
Anakuchunaaaaa... 😅😅😅 ATM wewe

Mtongoze yaishe.. muishi pamoja akumalize kabisa..
 
Asee pole sana una changamoto ila jifunze kuwa na mipaka sio lazima mtu aache familia kwako na sio lazima kumuazimisha mtu pesa ukimpa sahau
 
Leo tena wamefanya ivo ivo Leo kafanya mama mtoto kachukua beseni langu la vyombo kamuogeshea mtoto nimekaa kimya namuangalia tu kwani ye haelewi kwamba beseni la vyombo sio la kuogea uyo mtoto kipindi anamwogesha kakojoa humo humo yani Mimi natamani kulia kuhama sio laisi mazingira hayaruhusu kuhama inabidi niwe karibu na kituo cha kazi mi ndo nasimamia campuni
Relax pata maji ya baridi unywe,uoge alafu tafuta bhange vuta kidogo lazima utambunu mbinu ahh nimekosea utambinu mbunu za kuwatoa hao wanaokusumbua akili
 
Leo tena wamefanya ivo ivo Leo kafanya mama mtoto kachukua beseni langu la vyombo kamuogeshea mtoto nimekaa kimya namuangalia tu kwani ye haelewi kwamba beseni la vyombo sio la kuogea uyo mtoto kipindi anamwogesha kakojoa humo humo yani Mimi natamani kulia kuhama sio laisi mazingira hayaruhusu kuhama inabidi niwe karibu na kituo cha kazi mi ndo nasimamia campuni
Wewe ni mnyama anaitwa fuko. Ni mnyama flani anaishi chini ya ardhi ndio wewe mkuu.
Ungekuwa karibu ningekupiga ata makofi jinga kabisa. Naamini huwezi kuwa wewe ni mwanaume.....pumbavu sanaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom