Hawezi kumuacha kwake ila anakuja kumuacha kwakoMtoto mdogo hawezi muacha home bado ananyonya ajatimiza miezi sita sina urafiki nae Mimi ni work mate tu.
Pole yani naandika haraka haraka natumia simu shida tupu!!!!
Mwacheni mwenzenu hukoπ€πππ€£π€£πBasi aache kucheka cheka
Jamani πππππ€πππeti viberiti haviwaki kule kwa kutachia.....pole sana mkuu
Sawa mwenzakeMwacheni mwenzenu hukoπ€πππ€£π€£π
Relax pata maji ya baridi unywe,uoge alafu tafuta bhange vuta kidogo lazima utambunu mbinu ahh nimekosea utambinu mbunu za kuwatoa hao wanaokusumbua akiliLeo tena wamefanya ivo ivo Leo kafanya mama mtoto kachukua beseni langu la vyombo kamuogeshea mtoto nimekaa kimya namuangalia tu kwani ye haelewi kwamba beseni la vyombo sio la kuogea uyo mtoto kipindi anamwogesha kakojoa humo humo yani Mimi natamani kulia kuhama sio laisi mazingira hayaruhusu kuhama inabidi niwe karibu na kituo cha kazi mi ndo nasimamia campuni
Wewe ni mnyama anaitwa fuko. Ni mnyama flani anaishi chini ya ardhi ndio wewe mkuu.Leo tena wamefanya ivo ivo Leo kafanya mama mtoto kachukua beseni langu la vyombo kamuogeshea mtoto nimekaa kimya namuangalia tu kwani ye haelewi kwamba beseni la vyombo sio la kuogea uyo mtoto kipindi anamwogesha kakojoa humo humo yani Mimi natamani kulia kuhama sio laisi mazingira hayaruhusu kuhama inabidi niwe karibu na kituo cha kazi mi ndo nasimamia campuni