Sipendi misiba

Yeah, ila kwanini umekuja ghafla na mada kuwa hupendi misiba? Nini umewaza kikakufanya uandike hivyo?
 
Ninachojua mm unaowaona maskini Leo au watu wa kuandamwa na mikosi ni wale ambao hawakujiandaa vyema ktk ulimwengu uliopita. Ninavoamini mbingu zipi Saba vivyo ulimwengu zipo Saba.
Unakufa ulimwengu huu thn unazaliwa ulimwengu mwingine. Wale ambao wanaishi Kama anavyotaka Mungu ktk ulimwengu zote Saba watapata bonus ya kuishi naye mbinguni. Wengine wataanza upya mpk watakapomaliza tena ulimwengu zote. Hiyo milele mnayoisikia ni kurotate tu. Haya ni mawazo ya ninachoamini. Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaogopa kifo kwakua hatujui huko tunakokwenda. Fikiria kuwe kuzuri na mwisho unajutia muda ulioupoteza duniani.
Hivi tunawezaje kuogopa kitu ambacho hatujui hata kinaonekanaje na kina ladha gani.
Hatutakiwi tuogope kwa sababu hatuna uhakika kinatisha au hakitishi.
 
Na ndivyo ambavyo mimi najua hivyo pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuja mbio nikajua unamaanisha Cyprian Musiba.

Anyways nothing good can be told about death
Is just because we don’t know the truth about it. Death is a journey to go back home.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…