Sipendi misiba

Sipendi misiba

Ni kweli hii mada ni pana sana. Uchu wa utawala na madaraka vilipelekea vita na miji kutekwa. Watu waliona fahari kuuwana. Medival era ya Ulaya kama ilivyoandikwa na Warumi wanasema sebule za watu mafuvu ya binadamu ilikuwa urembo.

Amri kumi za Musa ndiyo zilileta mabadiliko makubwa.
Yeah, ila kwanini umekuja ghafla na mada kuwa hupendi misiba? Nini umewaza kikakufanya uandike hivyo?
 
Ninachojua mm unaowaona maskini Leo au watu wa kuandamwa na mikosi ni wale ambao hawakujiandaa vyema ktk ulimwengu uliopita. Ninavoamini mbingu zipi Saba vivyo ulimwengu zipo Saba.
Unakufa ulimwengu huu thn unazaliwa ulimwengu mwingine. Wale ambao wanaishi Kama anavyotaka Mungu ktk ulimwengu zote Saba watapata bonus ya kuishi naye mbinguni. Wengine wataanza upya mpk watakapomaliza tena ulimwengu zote. Hiyo milele mnayoisikia ni kurotate tu. Haya ni mawazo ya ninachoamini. Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaogopa kifo kwakua hatujui huko tunakokwenda. Fikiria kuwe kuzuri na mwisho unajutia muda ulioupoteza duniani.
Hivi tunawezaje kuogopa kitu ambacho hatujui hata kinaonekanaje na kina ladha gani.
Hatutakiwi tuogope kwa sababu hatuna uhakika kinatisha au hakitishi.
 
Hahaha ndio mafundisho na mapokeo hayo sister ila ukiwaza tu nje ya box yote hayo yalitungwa tu ili ku stabilize society.

Imagine tungekuwa tunaishi bila imani wanyama! Tusingekuwa na utu wala hofu.

Hii mada ni pana nikisema niiandikie uzi ni mrefu sana ila sinaga uthubutu wa kuandika nyuzi JF huwa najaribu naona nafeli
Na ndivyo ambavyo mimi najua hivyo pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuja mbio nikajua unamaanisha Cyprian Musiba.

Anyways nothing good can be told about death
Is just because we don’t know the truth about it. Death is a journey to go back home.
 
Back
Top Bottom