Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Yeah, ila kwanini umekuja ghafla na mada kuwa hupendi misiba? Nini umewaza kikakufanya uandike hivyo?Ni kweli hii mada ni pana sana. Uchu wa utawala na madaraka vilipelekea vita na miji kutekwa. Watu waliona fahari kuuwana. Medival era ya Ulaya kama ilivyoandikwa na Warumi wanasema sebule za watu mafuvu ya binadamu ilikuwa urembo.
Amri kumi za Musa ndiyo zilileta mabadiliko makubwa.