Ninachojua mm unaowaona maskini Leo au watu wa kuandamwa na mikosi ni wale ambao hawakujiandaa vyema ktk ulimwengu uliopita. Ninavoamini mbingu zipi Saba vivyo ulimwengu zipo Saba.
Unakufa ulimwengu huu thn unazaliwa ulimwengu mwingine. Wale ambao wanaishi Kama anavyotaka Mungu ktk ulimwengu zote Saba watapata bonus ya kuishi naye mbinguni. Wengine wataanza upya mpk watakapomaliza tena ulimwengu zote. Hiyo milele mnayoisikia ni kurotate tu. Haya ni mawazo ya ninachoamini. Ova
Sent using
Jamii Forums mobile app