Sipendi misiba

Sipendi misiba

Ninachojua mm unaowaona maskini Leo au watu wa kuandamwa na mikosi ni wale ambao hawakujiandaa vyema ktk ulimwengu uliopita. Ninavoamini mbingu zipi Saba vivyo ulimwengu zipo Saba.
Unakufa ulimwengu huu thn unazaliwa ulimwengu mwingine. Wale ambao wanaishi Kama anavyotaka Mungu ktk ulimwengu zote Saba watapata bonus ya kuishi naye mbinguni. Wengine wataanza upya mpk watakapomaliza tena ulimwengu zote. Hiyo milele mnayoisikia ni kurotate tu. Haya ni mawazo ya ninachoamini. Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
mbingu saba kwa maana ya universe au lile anga la blue tunaloliona
 
Kifo ni kitu cha kawaida wala si cha ajabu. Elewa kanuni na nidhamu za Ulimwengu wala hakitokupa tabu.
 
Back
Top Bottom