LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
They lied to u. There is nothing like thatMy religious teaching
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
They lied to u. There is nothing like thatMy religious teaching
Sipendi misiba na nimeapa sitahudhuria msiba wangu.
mbingu saba kwa maana ya universe au lile anga la blue tunalolionaNinachojua mm unaowaona maskini Leo au watu wa kuandamwa na mikosi ni wale ambao hawakujiandaa vyema ktk ulimwengu uliopita. Ninavoamini mbingu zipi Saba vivyo ulimwengu zipo Saba.
Unakufa ulimwengu huu thn unazaliwa ulimwengu mwingine. Wale ambao wanaishi Kama anavyotaka Mungu ktk ulimwengu zote Saba watapata bonus ya kuishi naye mbinguni. Wengine wataanza upya mpk watakapomaliza tena ulimwengu zote. Hiyo milele mnayoisikia ni kurotate tu. Haya ni mawazo ya ninachoamini. Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa vizuri hasa pale ulipodai hutahudhuria msiba wako ?!.Sipendi misiba na nimeapa sitahudhuria msiba wangu.
Haya buanaUnajua dini ni kama mzazi huwezi acha kuamini.
Tena sikuhizi unawekewa kipande cha ndizi na tango kwenye sahani.