Sipendi Morning Glory

Sipendi Morning Glory

Sasa basi hamna kitu kinaniudhi mida ya alfajiri nistushwe na kitu kimesimama halafu navutwavutwa kweli huwa nachukia, mida ya alfajiri usingizi ni mtamu mnooo jamani, mswaki hamjapiga, mara hamjaoga aah mi nampa tu huku nimefumba macho bhana atajua yeye😒😒.... wenzangu vipi mnapenda ka morning glory?
Utamu unapata/unauhisi lkn wakati wa kumpatiamo?
 
🤣🤣🤣Sawa mkulima,ila hakikisha mwenzio nae anaenjoy
Ainjoy asiinjoy atajua mwenyewe

Ila atakuwa aanaenjoy maanaa asubuhi....unaletewa makalio unaguswa guswaaa mara MTU anageuka geuka unapigwa mateke Kwa mbali...

MTU anajinyonga nyonga hapo unajua kifuatachoooo.
 
Back
Top Bottom