Sipendi Morning Glory

Sipendi Morning Glory

🤣🤣🤣🤣

Jioni Sisi wakulima tunakuwa tumechoka saana. Tunapaswa kupumzika,

Asubuhi kabla ya kwenda tena shamba, unapata blessing saafi kabisaaaa. Kisha unaenda
Ni sahihi. Binafsi napenda sana hiyo ya asubuhi. Jioni huwa nachoka sana kuhangaika kwenye shughuli za kujipatia kipato. Huwa na uchovu mwingi sana jioni na Mrs anajua hilo.

Ila asubuhi, nikaamka nakuwa na nguvu na uchovu umeisha ndio naishughulikia then saa 11 naenda kwenye mihangaiko. Kuna faida nyingi sana za Morning glory kwa wote. Nitazileta baadaye.
 
Back
Top Bottom