Sipendi Morning Glory

Sipendi Morning Glory

Hivi tutakaa tupate katiba mpya kweli?
Badilisha mentality yako kabla ya kupata katiba mpya, kwa akili zako hizi inafaa uendelee kuongozwa kwa kutumia katiba ya mwaka 77. Umesoma vizuri ukaona hili ni jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki wewe unakuja kuuliza habari za kupata katiba mpya. Hujaona jukwaa la katiba? Au unajitoa ufahamu bata wahed!
 
Wewe ndo tungeendana, me navyopenda kulala asbh, huwa nafanya nisionekane mzembe, mara nyingi sana nachelewa muda kwa ajili ya huo uzushi..

See you soon
 
My people how's weekend?

Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari.

Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya akili, ni hivi.. Kwenye suala zima la kufanya mapenzi binafsi napenda sana kufanya mapenzi kuanzia saa 1900-0200, kinyuma na hapo kwangu najioneaga kero tu, sababu hasa za kupenda mida hii mnakuwa mna energy ya story, kama mnakunywa mmepiga vitu vyenu, mmeoga vizuri yaani ni hearts all over the room..

Sasa basi hamna kitu kinaniudhi mida ya alfajiri nistushwe na kitu kimesimama halafu navutwavutwa kweli huwa nachukia, mida ya alfajiri usingizi ni mtamu mnooo jamani, mswaki hamjapiga, mara hamjaoga aah mi nampa tu huku nimefumba macho bhana atajua yeye😒😒.... wenzangu vipi mnapenda ka morning glory?t
Unafanya mapenzi saa moja mpaka saa mbili usiku.
Huo muda mumeo anakuwa ksihapumzika?
Anakuwa kishamalizana na dada wa kazi na watoto kujua wameshindaje au mnafanya mapenzi kwanza then ndio unarudi kwa watoto.
 
Hakuna penzi tamu kama la asubuhi , unakuta liboro liko ndindindi kama mti halafu ile style ya kiubavu ndio balaa asikwambie mtu UKIPATA hii morning glory kama unaenda kazini unakuwa na akili timamu balaa wale wanaokujaga makazini na makasiriko ni wale wanaokosa hii kitu
 
Kitu kinachoitwa morning glory nimeijulia Jf baada ya kumsikia sumbai kila muda akiiwaza
1721234999579.jpeg

Mh!! Mhhhhhh...
Eti eeeh!
 
Back
Top Bottom